Kwa wale wenye umri wa miaka 50 na kuendelea unakumbuka jiji la Dar mwaka gani?

Kwani kutoka Mkuranga au Bagamoyo sio wa Kuja? Acha hizo wewe
Anayetoka wilaya yoyote ya mkoa Pwani hawezi kuwa wa kuja Dar.
Ni sawa ametoka Temeke ameenda Kinondoni.Ndio maana usafiri wao haunzii stand ya mikoani Ubungo. Dar ilikuwa sehemu ya mkoa Pwani mpaka mwaka 1972 ulipofanywa kuwa mkoa. Bado makao makuu ya mkoa Pwani yalibaki Dar mpaka 1979 zilipokatwa wilaya ya kisarawe na Bagamoyo na kuundwa Wilaya Kibaha ndio ikafanywa makao makuu.Kuna mgawanyiko mkubwa wa familia na ndugu kwa wenyeji katika wilaya za Dar na Pwani kutokana na mgawanyo huo uliofanywa wa kiutawala, lakini bond ya wenyeji wa mikoa hiyo haioni tofauti kati ya Dar na Pwani otherwise mgeni ndio anaweza kufikiri hivyo.

Regional Commissioner's Office Pwani - About Us - About the Region
 
Wakuja inaanzia na kuishia wapi?

Wazulu wakina Sykes nao wakuja?
So Wamanyema wote waliojaa Kariakoo ni wakuja?
Vipi kuhusu John Rupia nae wakuja?
Vipi Mnyasa Pombeah nae wakuja?
Vipi Myao Cecil Matola nae wakuja?
 
412_20150128133545_14801_90629_img409a BEACH SIDE DAR ES SALAAM.jpg

Coco beach 1973
 
Volkswagen beetle zilikuwa zaaminika sana kuzungukia Africa kipindi hicho na zaidi zikionekana ni luxury cars kuliko Land rover 109.
 
Jamani mmenikumbusha class mate wangu Mussa Simba tulisoma wote Tambaza nae akiichezea Congo United miaka hiyo.Mwenye taarifa zake tafadhali anicheki inbox.Natanguliza shukrani.
Mkuu Gokili
Mussa yupo na last week nilikuwa nae kumbe class mate wako!!! Nawe kumbe ni mtoto wa mjini!
Nitakutafuta inbox
 
Ukweli mji umeharibiwa na siyo kuchafuliwa tuu hebu angalia maeneo ya kichwele hayo [emoji116]
View attachment 349738
Mkuu Umechemsha sio Kichwele hapo huo ni Mtaa wa Nkuruma kushoto ni Petrol Station ya Total au Esso kipindi hicho na hilo Jengo mbele ya Petrol Station kwa Sasa ni Duka la National Tyre. wahindi wanauza Matairi na mambo mengine kwa bei kubwa kuliko maelezo. Upande wa kulia kuna jumba la Sinema la New Chox..

Kichwele Mtaa wake ulibadilishwa jina na Ukaitwa Indira Gandhi kipindi hicho alipoitembelea Nchi akazawadiwa Mtaa. na Jina la Mtaa wa Market nadhani ndio wa kwanza and then soko likafa ukaitwa Kichwele and the Indira Gandhi.

So huo Nkuruma kama nao uliitwa Kichwele nirekebishe. Maana Mimi nilikuwa Mkazi wa City center miaka ya mwanzo ya 80's so nilikuwa nazunguka sana kutafuta company ya watoto mitaa yote kucheza maana ilikuwa ni shida watoto kupatikana mitaani kucheza.

Watoto wa Kariakoo enzi hizo Matusi na wizi yaani wanakupora wazi wazi and then walikuwa wachafu even kina FaizaFoxy
 
Mkuu mimi sio wa kuchemsha kuijua Dar-es-salaam,kwanza kichwele hupajui hebu kaulize tena kwa aliyekutajia hilo jina,kichwele ipo wapi? Pili hii picha ya 404 peugeot hapo siyo Nkurumah,hapo ni mtaa wa uhuru kona na Nyamwezi hiyo petrol station na jengo linalofatia kushoto bado yapo mpaka leo,upande wa kulia hiyo nyumba ndogo imevunjwa kuna Bank M, ukiangalia mbele unaona kuna Basi linatoka mnazi mmoja la kampuni ya DMT sina hakika kama uliwahi kupanda, basi lipo kona ya mtaa wa swahili na hilo ghorofa la kona ya swahili kulia bado lipo na kuna kituo cha taxi.
Mkuu Dar-es-salaam ya wakati huo na viunga vyake vipo kichwani mwangu picha haijafutika. Nakupa changa moto pita Nkurumah na mtaa uhuru utajifunza kuangalia picha.Hiyo picha imepigwa kona ya mtaa Nyamwezi kuangalia mnazi mmoja.
Hayo ya wizi sii kweli kulikuwa hakuna ujinga huo,wote tulikuwa tunajuwana utamwibia nani?
Kariakoo ilikuwa eneo la waungwana wa mji huu.
 
Umekosea sana tena.

Hapo ni Kichwele kweli kwa sasa ni mtaa wa Uhuru.

Kichwele haijawahi kuitwa Indira Ghandi, Indira Ghandi ni India Street.

Hiyo mitaa yetu na si Nkurumah hapo.
 
Mkuu mimi sio wa kuchemsha kuijua Dar-es-salaam,kwanza kichwele hupajui hebu kaulize tena kwa aliyekutajia hilo jina,kichwele ipo wapi? Pili hii picha ya 404 peugeot hapo siyo Nkurumah,hapo ni mtaa wa uhuru kona na Nyamwezi hiyo petrol station na jengo linalofatia kushoto bado yapo mpaka leo,upande wa kulia hiyo nyumba ndogo imevunjwa kuna Bank M, ukiangalia mbele unaona kuna Basi linatoka mnazi mmoja la kampuni ya DMT sina hakika kama uliwahi kupanda, basi lipo kona ya mtaa wa swahili na hilo ghorofa la kona ya swahili kulia bado lipo na kuna kituo cha taxi.
Mkuu Dar-es-salaam ya wakati huo na viunga vyake vipo kichwani mwangu picha haijafutika. Nakupa changa moto pita Nkurumah na mtaa uhuru utajifunza kuangalia picha.Hiyo picha imepigwa kona ya mtaa Nyamwezi kuangalia mnazi mmoja.
Hayo ya wizi sii kweli kulikuwa hakuna ujinga huo,wote tulikuwa tunajuwana utamwibia nani?
Kariakoo ilikuwa eneo la waungwana wa mji huu.

Achana nae haijuwi Dar huyo, anajidai tu humu.
 
Back
Top Bottom