Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #21
anatafuta kiki hyoNdo kilo ngapi hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anatafuta kiki hyoNdo kilo ngapi hizi
utaacha kunenepa kweli ? stress free kula ,kulala bure na kugegedwa kwa nafasi?Wengi wamenenepa baada ya kuolewa.
Sasa wewe nikikuoa si utakuwa kiboko kg 200!utaacha kunenepa kweli ? stress free kula ,kulala bure na kugegedwa kwa nafasi?
ahahaaa ila wanaume na nyie mna stress zenu naweza nifike 20kgSasa wewe nikikuoa si utakuwa kiboko kg 200!
Kwanini unenepe binti?ahahaaa ila wanaume na nyie mna stress zenu naweza nifike 20kg
bia chungu sana siziwezi siwezagi kunywa pombe kabisa mkuu nilishajitahidi sana kujifunza zikagoma nadhani nimelogwaKwanini unenepe binti?
Jitahid kunywa beer Sana Yan kila wakat zinapunguza hamu ya Kula kwa kuwa zile zina gesi
Watakuja watu kukukatisheni tamaa hapa...Ila inawezekana kupungua nilikuwa mzito kupitiliza pia....Sasa Niko safsafi....kula virutubisho fanya mazoeZtukutane hapa tupeane maarifa ya kupunguza uzito ,kila siku tutaapdate kwa kila mmoja kuweka uzito wake ,pia tutapeana mlo wa siku .no cheating pls .kama unajijua wewwe ni muaminifu njoo nikuaadd tupeane maarifa
kupunguza uzito group
6 november 2016
members
1.miss natafuta 93kgs
2.Dimpo 96kgs
3.
4.
Wananenepea kwenye ndoa...wanajisahau wanakula sana mafutambona wanawake wengi wanene wapo kwenye ndoa?
asante mkuu ,nice ideaHongereni kwa kuchagua healthy lifestyle, mimi sina kilo za kujiona ni mnene na sio mwanamke lakini najua viwili vitatu kuhusu mazoezi nitasubscribe uzi nishuhudie transformation.
Kuna mdau alituma namba sidhani kama alikosea, nahisi ingekua poa kama mngekua na grup lenu (mfano whatsapp) huko kila mmoja angetuma picha yake, mnapangiana baada ya muda hiyo picha ifananishwe na ya baada ya kuanza mazoezi. Pia huko mngeweza hata kutumiana videos faster.
AtavimbaKama unataka kunenepa kunywa sana bia...
Yanatumika kwa mudamabonge hawaolewi?
asante mkuu.ila wali si ni wanga?Kuna mdau nimeona kasema mtu ujinyime kula (siyo upunguze kula) hili wazo wakati litakuhakikishia kupungua lakini hapo hapo litakua linakumalizia virutubisho mwilini (na kuna uwezekano mtu akapata bulimia).
Badala yake kula vyakula vyenye virutubisho tu kwa kiasi na epuka junk food, mfano Sammo Hung ili kupunguza mwili ili ashiriki filamu ya Eastern Condors kwa miezi mitatu alikua akila wali mkavu na kuku wa kukaanga tu.
Na pia usikimbilie kukata tumbo, anza na jogging/ trotting na mazoezi ya kustrecth kwanza. Baada ya muda ndiyo uanze kutrain kivingine.
aya karibuYanatumika kwa muda
Ndiyo, na wanga hua transformed kwenda kua fat so yale mafuta utakayokua unayakosa utakua unayatoa hapo. Na nguvu za kufanya hayo mazoezi zitatoka hapo pia.asante mkuu.ila wali si ni wanga?
sasa alipunguaje kwa kula wali ?Ndiyo, na wanga hua transformed kwenda kua fat so yale mafuta utakayokua unayakosa utakua unayatoa hapo. Na nguvu za kufanya hayo mazoezi zitatoka hapo pia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuvimba ndo kukoje tenaAtavimba