Kwa wale wenye uzito wa kilo 90 kwenda juu tukutane hapa

Kwanini unenepe binti?
Jitahid kunywa beer Sana Yan kila wakat zinapunguza hamu ya Kula kwa kuwa zile zina gesi
bia chungu sana siziwezi siwezagi kunywa pombe kabisa mkuu nilishajitahidi sana kujifunza zikagoma nadhani nimelogwa
 
Hongereni kwa kuchagua healthy lifestyle, mimi sina kilo za kujiona ni mnene na sio mwanamke lakini najua viwili vitatu kuhusu mazoezi nitasubscribe uzi nishuhudie transformation.

Kuna mdau alituma namba sidhani kama alikosea, nahisi ingekua poa kama mngekua na grup lenu (mfano whatsapp) huko kila mmoja angetuma picha yake, mnapangiana baada ya muda hiyo picha ifananishwe na ya baada ya kuanza mazoezi. Pia huko mngeweza hata kutumiana videos faster.
 
tukutane hapa tupeane maarifa ya kupunguza uzito ,kila siku tutaapdate kwa kila mmoja kuweka uzito wake ,pia tutapeana mlo wa siku .no cheating pls .kama unajijua wewwe ni muaminifu njoo nikuaadd tupeane maarifa
kupunguza uzito group
6 november 2016
members
1.miss natafuta 93kgs
2.Dimpo 96kgs
3.
4.
Watakuja watu kukukatisheni tamaa hapa...Ila inawezekana kupungua nilikuwa mzito kupitiliza pia....Sasa Niko safsafi....kula virutubisho fanya mazoeZ
 
Hongereni kwa kuchagua healthy lifestyle, mimi sina kilo za kujiona ni mnene na sio mwanamke lakini najua viwili vitatu kuhusu mazoezi nitasubscribe uzi nishuhudie transformation.

Kuna mdau alituma namba sidhani kama alikosea, nahisi ingekua poa kama mngekua na grup lenu (mfano whatsapp) huko kila mmoja angetuma picha yake, mnapangiana baada ya muda hiyo picha ifananishwe na ya baada ya kuanza mazoezi. Pia huko mngeweza hata kutumiana videos faster.
asante mkuu ,nice idea
 
Kuna mdau nimeona kasema mtu ujinyime kula (siyo upunguze kula) hili wazo wakati litakuhakikishia kupungua lakini hapo hapo litakua linakumalizia virutubisho mwilini (na kuna uwezekano mtu akapata bulimia).
Badala yake kula vyakula vyenye virutubisho tu kwa kiasi na epuka junk food, mfano Sammo Hung ili kupunguza mwili ili ashiriki filamu ya Eastern Condors kwa miezi mitatu alikua akila wali mkavu na kuku wa kukaanga tu.
Na pia usikimbilie kukata tumbo, anza na jogging/ trotting na mazoezi ya kustrecth kwanza. Baada ya muda ndiyo uanze kutrain kivingine.
 
asante mkuu.ila wali si ni wanga?
 
asante mkuu.ila wali si ni wanga?
Ndiyo, na wanga hua transformed kwenda kua fat so yale mafuta utakayokua unayakosa utakua unayatoa hapo. Na nguvu za kufanya hayo mazoezi zitatoka hapo pia.
 
sasa alipunguaje kwa kula wali ?
 
Mkuu navyojua uzito unategemeana na urefu.Nina kilo mia kwa sasa na bado naambiwa ni ndogo mpka nifike 105
 
Back
Top Bottom