Kwa wale wote ambao wake zao ni wafanya kazi / waajiriwa asee poleni sana!

Pole sana mkuu! Hukuweka mambo fulan fulan vizuri home ndo maana mkeo akaliwa na muuza maziwa mpe pesa mkeo, mtunze vizuri, mkojoze vizuri mpe furaha akiwa na shida msaidie kuwa nae uone kama huyu mwanamke ataliwa hapo nyumbani
Daaah umenicopy tofauti boss mimi hata wazo la kuoa bado halijapata kibali akilini mwangu. Ila ikitokea nitaoa kwa sababu nizijuazo mimi kwahiyo mambo ya kuliwa hayatakuwa kipengele sana.
 
Inawezekana uko under 30,wanaume mature ni above 30 na hawana muda wa kujadiri tabia za wanawake..hujadiri kuhusu mipango ya maisha ,uwekezaji,kusomesha n.k...suala la mwanamke kuchepuka halima mfanyakazi wala mama wa nyumbani,..hiyo ni tabia ya mtu,kama ilivyo sisi wanaume kuna ambao waaminifu kwa mke mmoja, na wenye michepuko mpk 10.
 
Kitu ambacho wanaume wenzangu hamtaki kukiona ni hiki: hao wanawake wanajifanya wenyewe? Bila shaka jibu ni hapana. Wanachukuliwa na wanawaume. Sasa mwanaume unalalamika nini wakati wewe ndiye chanzo cha tatizo?
Nonsense
 
Sema wanaume tubadilike umri unakwenda ujana ni maji ya moto,ukipata nyadhifa yoyote ile jaribu kutumia vizuri sio kila mwanamke unataka kulala nae.


Licha ya elimu kubwa ila kuendeshwa na tamaa za ngono inakushusha elimu yako ,tumia mamlaka yako vizuri kwani duniani mambo yote yanapita haina haja ya kutongoza mke wa mtu ambaye unajua kwamba kaolewa.
 

Swali langu, wangapi wanajua, wana uwezo au kuipenda technology hiyo?
Lingine, mwanamke ni mtu kama wewe, akiamua au kuwa na tabia ya kuisaliti ndoa yake, unafikiri utamzuia?

Kijana mambo mengine hatuwazi saana, utakufa siku si zako. Utafika miaka 40 ukiwa umechoka sana.
 
Wanawake this...wanawake that....hizi mada too much...acheni kutongoza wake za watuuu...kwani wanagongwaa na kuku hao wanawake?...
Nyie acheni kujirahisisha kwa vijana huko maofisin kwenu acheni kujifanya watakatifu kumbe hamna kitu ndo wale wale tu!
 
Yote hayo ni kujisumbua,binadamu halindwi hata siku moja,hizo camera tunafunga kwa ajili ya usalama wa nyumba pia inasaidia kumonitor wafanyakazi wa nyumbani pindi tunapowaachia watoto mifugo n.k.Lakini kusema unafunga camera kwa ajili ya mkeo! au GPS hiyo yote ni kujifariji.
 
Acha kupenda mtelezo unafuu wa maisha kwamba mke nae alete mshahara home upange matumizi huoni aibu mzee? Unaona raha unamwambia mke eti kakope basi bank tununue gari au tujenge nyumba! Acha ujinga hayo yote unatakiwa upambane wewe mwanaume na kuyafanikisha yote huku mke analea familia vyema!
 
NImesoma aya ya kwanza nikahis kichefuchefu, ulivyoandika ni km wanawake wooote ndo wanato..a huko maofisin

Kazi tunafanya na hatujawah kufanywa nje ya ndoa zetu

Ifike mahali mkuwe , acheni ujinga kila siku wanawake nyef nyef

Teh teh teh, utafikiri wanaume ndo hawachepuki.
 
In realms of whimsy, nonsense gleams,
Where logic fades, and dreams take streams.
With jumbled words and topsy turns,
Absurdity ignites and burns.

A dance of folly, without rhyme,
In realms where clocks won't keep in time.
Where sense is lost, but laughter thrives,
In nonsense's realm, our joy revives.
 
Wewe unaakili sana angalia wenzio hapo juu wanacho sema ndo hao wapenda slope tunao zungumzia wanataka mke nae alete pesa nyumbani! Ndo maana hata wakigongewa wao ni sawa tu very shame

Wengine wengi humu walitoka kwenye level ya kusubiri mshahara wa mke. Wengine hata mshahara wake kausahau.
 
Something is not right somewhere...hizi mada zimezuka sana. Definitely....maybe a movement, maybe malipo ya uhamasihaji wa jambo flani, maybe, maybe, maybe...

Mwenye ufahamu na apate KUFAHAMU...kama wana wa Isakari...
 
Something is not right somewhere...hizi mada zimezuka sana. Definitely....maybe a movement, maybe malipo ya uhamasihaji wa jambo flani, maybe, maybe, maybe...

Mwenye ufahamu na apate KUFAHAMU...kama wana wa Isakari...
Wewe hujawahi kushikishwa ukuta?
 
Na wanaopanda daladala😂😂
 

Attachments

  • 20240212_151244.jpg
    35.5 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…