Kwa wale wote ambao wake zao ni wafanya kazi / waajiriwa asee poleni sana!

Ukimwacha nyumbani kuna wale bodaboda wenye VIDUKU wanakunywa VISUNGURA hao ndo wanamrukia sasa,Bora wafanyakazi wenzie wana vitambi hawana maajabu sana ,

(Practical joke)

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Asee leo ndo nimehitimisha tafiti yangu kwa asilimia 100% kuwa wake za watu wanaliwa sana maofisini asee kama mke wako ni mtumishi mfanyakazi asee tambua brother unagongewa
Hivi unafahamu kwamba rais wa hii nchi ni mwanamke na wewe ndiye umemwajili?

Ikiwa umetafiti kuhusu wanawake wote walioajiliwa huliwa huoni kwamba umemdharirisha hata rais wako uliyempa ajira?

Uwe unafanya utafiti wenye tija na sio kukurupuka tu na vinyuzi vya kina Pangu pakavu tía mchuzi 😂
 
NImesoma aya ya kwanza nikahis kichefuchefu, ulivyoandika ni km wanawake wooote ndo wanato..a huko maofisin

Kazi tunafanya na hatujawah kufanywa nje ya ndoa zetu

Ifike mahali mkuwe , acheni ujinga kila siku wanawake nyef nyef
Wewe subir siku yako utakayo kamatwa! Na kama job huna kajamaa basi ujue ww ni pisi mbovu hapo kazin kwenu hakuna mwenye time na ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…