Kwa wale wote ambao wake zao ni wafanya kazi / waajiriwa asee poleni sana!

Wewe endelea kuchekelea mshahara wa mke wako endelea kuchekelea perdiem anazopewa pindi anapo kwenda safar za kikazi! Unagongewa huko kazin kwake embu tujifunze kwa mababu zetu zamani ilikuwaje au tujifunze kwa waarabu ! Acha kupenda mtelezo
 
Nyuki na ukali wake wote watu wanakula asali yake, nini mwanamke wako sijui mke...

Kama akiamua kaamua tu huna cha kuzuia...
 
Wewe endelea kuchekelea mshahara wa mke wako endelea kuchekelea perdiem anazopewa pindi anapo kwenda safar za kikazi! Unagongewa huko kazin kwake embu tujifunze kwa mababu zetu zamani ilikuwaje au tujifunze kwa waarabu ! Acha kupenda mtelezo
Ikiwa uligongewa demu huko ofisi tulia usilete maumivu yako hapa.

Mwanamke anaweza kugongwa hata akiwa mama wa nyumbani.

Mwanamke kugawa ni uamuzi wake tu, haijalishi ni mfanyakazi ama mama wa nyumbani akiamua kugawa anagawa tu akiwa home, lodge, ndani ya gari, kichakani nk.

Nakuona kabisa bado upo katika foolish age.
 
Mkuu fanya majukumu yako kama mwanaume acha kumchosha huyo mwanamke acha kumuweka kwenye mazingira ya kuliwa ukiona kugongewa mke kwako ni kawaida basi tambua wewe sio mwanaume kamili. Mkeo kwenda kazini kunaongeza risk ya kuliwa ukiwa kwenye ndoa alafu ukagundua mkeo analiwa huko kazin na ukachukulia poa basi jua uanaume wako kuna tatizo sehem!
 
Ni mwanamume mjinga anayeweza kuwa na mawazo kama hayo unayosambaza hapa.

Katika age yako bado hujui kuwa mwanamke hachungwi.

Katika age yako hujui kuwa mwanamke hawezi kufichwa ndani ili kumuepusha asiliwe.

Katika age yako bado ujinga mwingi umekaa ndani ya kichwa chako.

Siku ukikua utaacha utoto na ujinga.
 
Kuna wauza mkaa nyongeza ya mikono miwili anamla mke wa mtu, wauza duka nyongeza ya kidogo ya mafuta ya kula anajipigia mke wa mtu, muuza genge nyanya moja ya nyongeza anajipigia mke wa mtu bado kuna bodaboda,wapaka rangi nk.

Cha msingi omba kupata mwanamke anaye jitambua, mwenye hofu ya Mungu anaye kuheshimu hata kama ww upo kazini still bado anaitunza heshima yako.

Siku hizi hamna wa nyumbani wa ofisini, kuna mama wa nyumbani analiwa yy na msosi anampikia kwa hela aliyo iacha mmewe.
 
Acha kukwepa majukumu halisi ya mwanaume ukiona mwanamke wako mama wa nyumbani analiwa ovyo na watu wa ajabu ajabu basi tambua umeoa malaya au wewe mwanaume umeshindwa kumhandle huyo mwanamke kiuchumi, upendo, na kitandani! Umasikini wako na uvivu wa kupenda kitonga ndio unakusukuma ww kumruhusu mkeo akafanye kazi ili upate unafuu wa maisha!

Sasa mimi na ww nani anaonekana bado mtoto wewe unakuwaje mwanaume alafu unakuwa na pigo hizo za kijinga kwamba mkeo akigongwa huko kazin kwake wewe kwako sawa tu asee
 
Nim
ukiona mwanamke wako mama wa nyumbani analiwa ovyo na watu wa ajabu ajabu basi tambua umeoa malaya
Hoja yako inahusu mwanamke asiajiriwe ili kumwepusha na kuliwa kazini. Hoja yako iliposambalatishwa umeruka na kuhamia kwa wanawake wanaoliwa nyumbani kwamba ni malaya 😂😂😂

Hujakua ndugu, endelea kukua, siku ukikua utaacha utoto na ujinga.
 
Wewe endelea kuchekelea mshahara wa mke wako endelea kuchekelea perdiem anazopewa pindi anapo kwenda safar za kikazi! Unagongewa huko kazin kwake embu tujifunze kwa mababu zetu zamani ilikuwaje au tujifunze kwa waarabu ! Acha kupenda mtelezo

Yaani na wewe unaweka mfano wa waarabu, eti ndo tukajifunze.
 
Ushauri mzuri Sana pongezi kwako
Nahisi una hofu ya mungu pia
 
Hiyo hoja nilikujibu swali lako kwenye andiko lako lililopita ulisema kwamba mwanamke hata akiwa nyumbani anaweza kuliwa!

Wewe endelea kuteleza kwenye ganda la ndizi ila tambua mkeo watu wanajilia tu ofisini huko! Kisa anakusaidia kulipa school fees za watoto basi ww unaona raha unakenua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…