Kwa wale wote ambao wake zao ni wafanya kazi / waajiriwa asee poleni sana!

Na siku ukifa mkeo ataendelea kuwa mama Wa nyumbani

Jifunzw kupenda think positive..Kuna Leo n kesho
 
Haya akina sie wenye mabosi mashangazi mwendo ni kulinda kibarua hakuna namna 😂😂😂
 
Attachments

  • 20231227_131944.jpg
    11.8 KB · Views: 7
Huna akili Hivyo tu.
 
Ka
 
KAAAAATAAAAA NDOAAAAAAA
dronedrake
 
Wewe subir siku yako utakayo kamatwa! Na kama job huna kajamaa basi ujue ww ni pisi mbovu hapo kazin kwenu hakuna mwenye time na ww
Mfyuuuu.....nilijua utakuja na hoja hzo

Kama niliweza kukamata mwanaume (gentleman) anayeweza kugombewa na wanawake na akaniweka ndani, basi najiamini mm ni pisi kuliko hzo paskali zako zinazokufanya uweweseke.
 
Ngoja nikwambie sasa sisi wanaume really ambao tunavutia wanawake wengi kwa kila kitu huwa tunao pisi mbovu kweli kweli ndo tunaweka ndani kama unabisha fanya tafiti alafu njoo useme
 
Siku ukiwa huna KAZI au ukifariki na mkeo Hana KAZI na alikuwa anakutegemea asilimilia mia ndio utaelewa Kwa Nini mwanamke asifanye KAZI? Hata hao walioko nyumbani wanaliwa mpaka na shamba boy, ukimpta mwanamke aliyetulia shukuru Mungu , Hawa viumbe Wana tamaa mno sijui wanapenda Nini?
 
Ngoja nikwambie sasa sisi wanaume really ambao tunavutia wanawake wengi kwa kila kitu huwa tunao pisi mbovu kweli kweli ndo tunaweka ndani kama unabisha fanya tafiti alafu njoo useme
Kajipime...unamatatizo ya sonona..

Hapo ofisini umekataliwa na hao wanawake unaowachunguza daily...ukute wewe ni mfanya usafi, umejichokea...unatumwa na wanaume wenzako nani akutake ..... wacha makasiroko

Kakojoe ulale...pumzisha fuvu hilo kesho kahudumie wanaume.
 
Huwezi mpangia mtu zawadi ya asili aliyopewa na Mungu aitumieje!!
Huwezi mpangia ampe nani!Fanya lengo lake alilokuumbia Mungu Duniani!!

Utabeba mangapi moyoni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…