Kwa waliochanja Chanjo ya CORONA Njoni mtoe uzoefu Ili tupime ufanisi.

MTUMISHI Rabbon hiyo bangi sio Kwa nia mbaya. Najua hapo huyo mtu amemtukana Yesu wangu. Hakua na lingine hapo. Ni Kwa nia njema.
 
MTUMISHI Rabbon hiyo bangi sio Kwa nia mbaya. Najua hapo huyo mtu amemtukana Yesu wangu. Hakua na lingine hapo. Ni Kwa nia njema.
Usijali mtumishi,

Sisi tumezuiwa kulewa Kwa mvinyo,

Ila tumeruhusiwa kureplace kiu ya pombe na vilevi vingine Kwa kujazwa Roho MTAKATIFU.

Ubarikiwe.
 
Mama yangu alifariki miaka miwili baada ya chanjo tena ghafla Kwa heartattache
 
Mama yangu alifariki miaka miwili baada ya chanjo tena ghafla Kwa heartache
Pole sana ndugu Kwa kupoteza mzazi!!

Sisi pia tulipoteza majirani zetu wawili Kwa kuganda Damu.

Vipi wewe pia ulichanja?
 
Nilichanja j&j pamoja na mzazi wangu mpaka sasa bado sijaona side effect yoyote ile... Nasubiri kugeuka kuwa zombi
 
Nakumbuka nilimwambia Yesu mi naenda kuchanja ila tunaenda wote. Nilichanja Ile Johnson And Johnson na sijawahi patwa na kitu chochote Cha ajabu.
Acha kumsingizia Yesu ww, kwani alikujibu kwamba twende.
 
Nilichanja j&j pamoja na mzazi wangu mpaka sasa bado sijaona side effect yoyote ile... Nasubiri kugeuka kuwa zombi
Kama hakuna shida ni kheri pia,

Sisi pia ambao hatukuchanja, HATUJAMBO😀
 
Wote walio chanjwa hawawezi kukueleza ukweli maana ukiisha chanjwa unakua kama msukule hujielewi kama wale wanao sali kwa mwamposa.Ukweli ni kwamba chanjo zile zinamadhara kama hujayaona leo subiri mda yanakuja. Hilo ndilo lengo la beberu kama hujui.
 
Mbona wanajieleza vizuri tu,

Misukule hawaongeagi😀
 
Sijapata madhara yyte sanasana trending yangu ya kupata maambukizi ya mafua imepungua before ilikuwa kila mwaka angalau mara mbili nitapata mafua ila sasa ni mara moja tu..na wala hayakai sana siku nne kwisha.
Hata mimi toka nichanje sijapata mafua
 
Mimi nililaImkika kuchanja kwa kuwa nilikuwa na safari nje ya Tanzania kwa hiyo sikuwa namna.

Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote niliyopata au nayapata. Nina miaka takribani 15 sijawahi kwenda hospital kwa tatizo lolote la kiafya
Madhara ya Chanjo kama ni yenye nia ovu hayawezi kujitokeza kwa miaka 3/5. Na yanaweza yasitokee kwenye mwili wako, ila yakatokea kwenye kila mtoto utakayemzaa. Labda awe zezeta, au awe shoga, au ashambuliwe na magonjwa mazito kama Kansa na kisukari, nk...

Katika miaka ya hivi karibuni, tuseme ndani ya miaka 10-15 iliyopita, kuna wimbi kubwa mno la kubainika kwa vijana wengi wakiwa na Kisukari, ugonjwa ambao tulifikiri ni wa watu wazima tu.
Kuna fununu za kuwa ni matokeo ya chanjo fulanifulani miaka ya 80.
 
Sijapata madhara yyte sanasana trending yangu ya kupata maambukizi ya mafua imepungua before ilikuwa kila mwaka angalau mara mbili nitapata mafua ila sasa ni mara moja tu..na wala hayakai sana siku nne kwisha.
Mimi ilikua kila wakati kamasi zinanitoka... Mpaka sasa nina miaka 2 sijawahi shika kitambaa hadharani kupambania kamasi
 
Pole sana ndugu Kwa kupoteza mzazi!!

Sisi pia tulipoteza majirani zetu wawili Kwa kuganda Damu.

Vipi wewe pia ulichanja?
Covid yenyewe inasababisha kuganda,
Kuna mambo zaidi ya 20 yanayoweza kuwa chanzo cha blood cloting.
 
Mama yangu alifariki miaka miwili baada ya chanjo tena ghafla Kwa heartattache
Covid yenyewe inasababisha heart attack kwa kiasi kikubwa sana.
 
Wote Waliochanja Baada Ya Miaka Kadhaa Watakuwa Kama Hippopotamus
Wanene , Wazito
 
Mimi ilikua kila wakati kamasi zinanitoka... Mpaka sasa nina miaka 2 sijawahi shika kitambaa hadharani kupambania kamasi
Vumbi linaloingia mwilini kupitia hewa linatokaje ikiwa hupati mafua?

Huoni hayo ni madhara tosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…