Kwa waliokojoa kitandani tu!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ah ah ah pale unakojolea sasa panadumbukiaga ndani
 
Haha ukija shule msafiiii, hadi tunakusema hauchafuki hata uchezeje, kumbe moyoni una la siri kako khaaa. Babu alikuwa mpole sana jamani, bibi ile sura tu
 
[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Haha ukija shule msafiiii, hadi tunakusema hauchafuki hata uchezeje, kumbe moyoni una la siri kako khaaa. Babu alikuwa mpole sana jamani, bibi ile sura tu
Ah ah ah bibi alikuwa sura mbuzi, yaan khaa bora kazeeka nw, maana ilikuwa shidaaa, hata sijui alikuwa na stres za mumewe, maana nw karelax si unajua nyumba hiz zione nje tu vyumban wanajua wenyewe, mzee alivyo sepa kama mtu aliyetua mzigo
 
Kwa kweli kuta zina siri nyingi
Ah ah ah bibi alikuwa sura mbuzi, yaan khaa bora kazeeka nw, maana ilikuwa shidaaa, hata sijui alikuwa na stres za mumewe, maana nw karelax si unajua nyumba hiz zione nje tu vyumban wanajua wenyewe, mzee alivyo sepa kama mtu aliyetua mzigo
 
Ah ah ah pale unakojolea sasa panadumbukiaga ndani
Hatari yani, leo unalichafua huku, unaligeuza... Kesho upande mpya unalichafua tena, unaligeuza...

Ikifikia week mbili, umepiga mizunguko ya kutosha tu pande zote mbili, na umeshalipendezesha ipasavyo
 
Hahahaa kama nakuona mkuu, nimecheka kinoma asee
 
hii kitu ilikua inaanza na ndoto ya kukojoa na issue wengi tumekulia kwenye nyumba za vyoo vya nje na ukifikilia kutoka nje usiku .....
 
Dah...salama yangu ilikuwa ni kugoma kwa mlango wa toilet kufunguka nikiwa ndotoni..nikiwa kwenye kashikashi ya kuuvunja kwa baruti ..ule mlipuko ndiyo huniamsha kutoka usingizini...😎
 
Haha, funguka basi na wewe kwenye hoja ya msingi tuone technique ulizobuni udogoni [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mi nimekojoa sana tu sijui mpaka la nne hukoo....ni viboko tu kwa kwenda mbele mkuu[emoji23]

Ila ukiwa mtoto sijui kwanini ndoto za kuota unakojoa ovyo ovyo zinakuandama?[emoji15] [emoji15]
 
Mi nimekojoa sijui mpaka la nne....ni viboko tu kwa kwenda mbele mkuu[emoji23]

Ila ukiwa mtoto sijui kwanini ndoto za kuota unakojoa ovyo ovyo zinakuandama?[emoji15] [emoji15]
Na hisi itakua sababu ya michezo, muda wote michezo inatawala ki dikteta dikteta kwenye memory card kichwani.. Tena ukiwa na GB ndogo kichwani ndo msiba kabisa

Ndo maana watoto hulala halafu usingizini anareply kashi kashi za siku nzima, utamsikia witness usingizini "sichezi na wewe, nafuta urafiki na wewe"
 
Mimi nilipata tabu sana pindi ilikua ikiwa zamu ya mwalim mkali pale nilipokua nikilala nimavaa nguo za shule ili nikikurupushwa tu nianze mbio za shule mamamae unashutuka muda muafaka unakuta nguo zote zimeloa alafu zinanua utadhani beberu
H a ah ah ah ah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…