Kwa waliokojoa kitandani tu!!

Kwa waliokojoa kitandani tu!!

Nlikua nikijikojole naamka usiku godoro naligeuza juu chini bi mkubwa asilione., viboko vilinifanya nibuni njia mbadala... Simple [emoji4] [emoji4] [emoji1]

Ila godoro langu lilikua lina ramani za dunia nzima, kuanzia barani ulaya, asia mpaka africa... Kila nchi na mikoa yake, mpaka vijiji...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nlikua nikijikojole naamka usiku godoro naligeuza juu chini bi mkubwa asilione., viboko vilinifanya nibuni njia mbadala... Simple [emoji4] [emoji4] [emoji1]

Ila godoro langu lilikua lina ramani za dunia nzima, kuanzia barani ulaya, asia mpaka africa... Kila nchi na mikoa yake, mpaka vijiji...
Ah ah ah pale unakojolea sasa panadumbukiaga ndani
 
Haha ukija shule msafiiii, hadi tunakusema hauchafuki hata uchezeje, kumbe moyoni una la siri kako khaaa. Babu alikuwa mpole sana jamani, bibi ile sura tu
Amen,Yaan acha tu umaridad unaficha vingii, nilikuwa napata tabuu nikikojoa siku a ah achen hiz mambo nzur kusimulia ukipita sio kwa wakati huo ambao ndio unapata shida
Bibi alikuwa mkax yan babu alinisaidia kuniteteea lasivyo ningechezea fimbo za mkojo kila siku.
Huo usafi ilibid tu niwe baba aliniambia yan ukipita karibu yangu kama mchafu hata salam usinipe sina mtoto mchafu mimi, yaan upite mbali kabisa, sasa hata nikikojoa usiku asubuh nahakikisha naoga nguo zangu safi nimenyoosha hata nikipita kazin kwake na hiv nina sura ya baba aa ananitambulisha bint yangu huyu jmn na hela ya shule napata, hivi hiv ah ah alijua ule mkojo ungemuaibisha siku naenda msalimia na kaharufu cha mkojo halafu mzee yupo very smart akaona hii aibu hii
 
Nlikua nikijikojole naamka usiku godoro naligeuza juu chini bi mkubwa asilione., viboko vilinifanya nibuni njia mbadala... Simple [emoji4] [emoji4] [emoji1]

Ila godoro langu lilikua lina ramani za dunia nzima, kuanzia barani ulaya, asia mpaka africa... Kila nchi na mikoa yake, mpaka vijiji...

[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Haha ukija shule msafiiii, hadi tunakusema hauchafuki hata uchezeje, kumbe moyoni una la siri kako khaaa. Babu alikuwa mpole sana jamani, bibi ile sura tu
Ah ah ah bibi alikuwa sura mbuzi, yaan khaa bora kazeeka nw, maana ilikuwa shidaaa, hata sijui alikuwa na stres za mumewe, maana nw karelax si unajua nyumba hiz zione nje tu vyumban wanajua wenyewe, mzee alivyo sepa kama mtu aliyetua mzigo
 
Kwa kweli kuta zina siri nyingi
Ah ah ah bibi alikuwa sura mbuzi, yaan khaa bora kazeeka nw, maana ilikuwa shidaaa, hata sijui alikuwa na stres za mumewe, maana nw karelax si unajua nyumba hiz zione nje tu vyumban wanajua wenyewe, mzee alivyo sepa kama mtu aliyetua mzigo
 
Ah ah ah pale unakojolea sasa panadumbukiaga ndani
Hatari yani, leo unalichafua huku, unaligeuza... Kesho upande mpya unalichafua tena, unaligeuza...

Ikifikia week mbili, umepiga mizunguko ya kutosha tu pande zote mbili, na umeshalipendezesha ipasavyo
 
Duh nakumbuka mara ya kwnza kukojoa kitandani nikiwa najitambua ilikua nipo darasa la nne, niliota tumeenda kucheza chandim sasa kabla mechi kuanza nikawaambia jamaa wanisubirie nitoe chururu basi nikaenda pembeni ya goli nkaanza kukojoa duh yani nlikua najiskia raha ajabu afu kojo haliishi yani kama robo saa hv minakojoa mdogo mdogo yani mpaka watuwazima wanapita mi nawasalimia huku nakojoa uleutamu haukua wakawaida ghafla nikanza kuhisi joto lenyeunyevu hapo ndipo nlipo gundua ulikua mtego na maumivu ya kibofu yalikua makali kiasi chakukatisha usingizi, ikabidi nitoke kwenye ndoto fasta nikawahi toi then nikachange nguo nikachukua na nguo chafu nikagandamizia pale palipo lowa bahati nzuri palikua hapajaloa sana sasa kazi asubuhi ikiwa kulinda lileeneo madogo wasijue kama bro niliharibu mambo usiku # good old days
Hahahaa kama nakuona mkuu, nimecheka kinoma asee
 
hii kitu ilikua inaanza na ndoto ya kukojoa na issue wengi tumekulia kwenye nyumba za vyoo vya nje na ukifikilia kutoka nje usiku .....
 
Dah...salama yangu ilikuwa ni kugoma kwa mlango wa toilet kufunguka nikiwa ndotoni..nikiwa kwenye kashikashi ya kuuvunja kwa baruti ..ule mlipuko ndiyo huniamsha kutoka usingizini...😎
 
Haha, funguka basi na wewe kwenye hoja ya msingi tuone technique ulizobuni udogoni [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mi nimekojoa sana tu sijui mpaka la nne hukoo....ni viboko tu kwa kwenda mbele mkuu[emoji23]

Ila ukiwa mtoto sijui kwanini ndoto za kuota unakojoa ovyo ovyo zinakuandama?[emoji15] [emoji15]
 
Mi nimekojoa sijui mpaka la nne....ni viboko tu kwa kwenda mbele mkuu[emoji23]

Ila ukiwa mtoto sijui kwanini ndoto za kuota unakojoa ovyo ovyo zinakuandama?[emoji15] [emoji15]
Na hisi itakua sababu ya michezo, muda wote michezo inatawala ki dikteta dikteta kwenye memory card kichwani.. Tena ukiwa na GB ndogo kichwani ndo msiba kabisa

Ndo maana watoto hulala halafu usingizini anareply kashi kashi za siku nzima, utamsikia witness usingizini "sichezi na wewe, nafuta urafiki na wewe"
 
Mimi nilipata tabu sana pindi ilikua ikiwa zamu ya mwalim mkali pale nilipokua nikilala nimavaa nguo za shule ili nikikurupushwa tu nianze mbio za shule mamamae unashutuka muda muafaka unakuta nguo zote zimeloa alafu zinanua utadhani beberu
H a ah ah ah ah
 
Back
Top Bottom