Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

Advance unaenda unafundishwa na mtu lakini mwisho wa siku unakuja kumzidi kila kitu..

Kuna mwanangu alinipiga msasa Mechanics topics zote lakini akaja kuishia kupata three ya mwishoni..iliniuma sana hii.

Kwahiyo vijana wasiogope
 
Safi kabisa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Poleni sanaaa, Form IV ya 2012 na Form VI ya 2013 zilikumbwa na dhoruba kali kama Covid 19!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Vijana wa siku hizi!!! "Eti pure mathematics"..... ni Advanced mathematics. Hakuna somo la mathematics A level katika combinations za PCM, PGM na EGM linaloitwa pure mathematics. Hiyo pure maths ni hesabu tu katika Advanced maths. NB: mimi nimesoma PCM miaka kadhaa ya nyuma.
 
Wengi waliopiga One form six miaka ya 2010 kurudi nyuma wana maisha safi... wengi wapo vitengo vizuri wanakula mema ya nchi. Darasa nililomaliza nalo chuo kwa kozi niliyokuwa ninasoma nadhani zaidi ya 35% wako TRA. Tulikuwa kama 40 tu kwenye kozi yetu. Hawa vijana wa sasa wanafanya vizuri sana kitaaluma kwenye CSEE na ACSEE ila watakumbana na changamoto kubwa sana hata kupata sehemu ya field. Huko tuendako watu watakuwa na ONE kali za f4 na f6 huku wakiwa hawana kazi au wanafanya kazi za kuzuia tu msiba. Maendeleo huja na changamoto.
 
Elimu ya kidato cha tano na Sita ni ya kupoteza muda tu. Binafsi nimeipitia kwa sababu sikuwa na taarifa sahihi za kujitosheleza.
Kwa masomo ya arts ni kupoteza muda Ila sayansi hasa PCM siyo level ya kuiruka.
Muhimu sana mbele ya safari huko elimu ya juu. Pia katika maisha ya kawaida ya fundi sanifu au mhandisi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], daaah!! Hatari sanaa

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Haiwezekani siku ya pure ndiosiku ya bam.hapo umetupiga fix🤣🤣🤣🤣🪑💺
Kuna dogo Alisoma ilboru nadhani alimaliza 2011 kama sikosei ana asili ya kiarabu/mhindi alifanya hizo Pepa zote 4 sijui kwa kusimamiwa mwenyewe au vipi, ikitokea bahati mtu alipita hapo huu mwaka atakuja kuelezea... Alikua anasoma pcbm
 
.
Nakuelewa sana mkuu...nakumbuka siku ya kwanza nafika shule fulan, nikawauliza washkaji waalimu wataanza kufundisha lini? Jamaa walinicheka mbayaaa. Wakaniambia dogo unasubiri walimu??! Umeshafeli. Wakati huo jamaa wanagonga maswali ya topics za form 6...
.
Kwenda tu hiyo shule manake sio mnyonge lakini wazee kuna watu wana akili. Kukupa picha ndogo tu, kwa mwaka wetu walitoka Tanzania One wanne!
.
Kuna jamaa muda mwingi alikuwa anashinda msikitini anawapiga watoto ilim ila ukikutana nae ukampa yale matango ya NECTA yaliyojibiwa, jamaa anakwambia sheikh haya nayajua yote.
.
Ila nasikitika kwamba those guys wanaishia kuishi very normal life mbeleni na wengine wanakuwa even frustrated na maisha. Hii ni kwasababu mazingira yetu hayana creative industries qmbazo zinaweza ku-absorb potential waliyonayo.
 
.
Hehee umenikumbusha teacher wa pure Maths, jamaa
anafundisha anafika mahali anacheck notes zake then anaanza kuruka kurasa. Anaruka weeee halafu anasema sehemu hii na hii mtajisomea wenyewe.
.
Anaua zaidi anaposema hii ndio raha ya kufundisha vipaji maalumu, hata usipowafundisha wameshaelewa.
 
Au alikuwa mtu wa system?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
.
Mkuu, ulikuwa Mzumbe nn? Hii case na mi ilinikuta.
 
Acha kuwatisha vijana, hakuna cha ajabu huko
 
Organic chemistry shikamoo, Kuna dogo aisee alimeza organic yaani akawa kama kichaa anatembea anaongea mwenyewe maswala ya chemical reactions tu[emoji2]
.
Mwaka wetu kuna mwamba alichanganyikiwa na Pipo Confuse Brain (PCB). Tuko class tunapiga msuli tunashangaa jamaa anaanza kujimwagia maji ya kunywa kichwani. Kumuuliza oya mwana vp, akaanza kujibu vitu havieleweki. Huku na kule akaanza fujo, wana wakamtia kamba chap.
.
Oya mazee, ule mziki wa BS ni noma miaka laki 8.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…