Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

Wana- perform vizuri shuleni ila hata kikwangulio cha karoti tunaagiza China.
Nilikuwa natafuta such a comment. Huu uzi nimesoma, aibu imenijaa mimi huku msambikanyukwa. Pamoja na sifa zote humu, na struggles za shule, yet.....mambo yanayoendelea katika sekta zote haviendani na elimu yetu/ufaulu wetu.

Kwa waliosoma nchi za nje (wanavyodai) elimu ya huko sio complicated kama ya bongo. Maswali ya mitihan ni straight to the point na ishu kama hizo, na bado mambo wanayobuni ni makubwa vile vile. Sisi tunapewa machands+ma-abbort lakin ndo maisha hayaakisi yale magumu tumepitia.

Am sometimes forced to believe labda tungekuwa na mitaala yetu, labda...tungebuni vya kwetu kwa ukubwa zaidi. Baba zetu kweli elimu zenu zilikua standard lakin very complicated, na mpaka leo yapo mliyoyafanya lakin machache sana. Maana kama mpaka sasa mifumo ya sekta mbalimbali haiko sawa then faida iko wapi...sanasana uadilifu kwa baadhi yenu. Masikitiko 😞😞😞
 
Maandazi tena chiefπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Yaani Chief Mr mutuu , Maticha wa Azania walikuwa hawapo serious sana lakini baada ya kuja kupata akili nikaja kugundua wengi pale walikuwa ni Mashushu. Kuna mmoja alikuwa anajifanya CUF kindakindaki lakini enzi za Jakaya Kikwete akawa ni Mkuu wa Wilaya na unajua kabisa Ma DC ni Chama Tawala lia lia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huko mwaka NECTA walikua na hasira na sisi. One za masomo yote zilikua hazizidi 350 Tanzania yote aisee.
 
walkuja telecom hawa enzi hizo telecom haishikiki na bado japhe aliongoz (first class honours) ila michael shaka alkuw wakawaida sana
Michael shaka alifichwa na kivuli Cha japhe ila na yeye ni mtu mbaad sana aisee.... Kuna mtu hapa anasema tele siku izi wanachukua mpaka 1.8 ndo namwambia kipindi chetu 1.5 hunusi tele
 
Kwa mtu anayejielewa ni vizuri kwenda shule kama hizo


Hao wanafunzi ndio watakuwa walimu wake walimu wake wa kumkatia mapindi
 
Kwa mtu anayejielewa ni vizuri kwenda shule kama hizo


Hao wanafunzi ndio watakuwa walimu wake walimu wake wa kumkatia mapindi
Huko wanafunzi ndo walimu, aisee walimu wa special schools Wana raha sana hua hawahangaiki na kufundisha kabisa ,alafu matokeo yakitoka wanaenda kuchukua maokoto kwa Kila A iliyotoka
 
Haha kibosho umbwe hapo hukupata demu wa somsom au mlama kweli chief??
 
Nilikuwa na demu alikua anakaa mitaa ya kagera pale kwenye gulio,
Umbwe shule ya kibabe, Kuna mwalimu alipigwa tofali usiku kwenye ile njia juu ya dining hall kuelekea nyumba ya walimu akakaa hospital zaidi ya mwezi, headmaster kaja parade anawaambia walimu ikifika saa Moja jioni marufuku mwalimu kuingia eneo la wanafunzi hukoπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Enzi hizo tumeripoti shulee waalimu wakaanza mikwaraa ya kujaa na Introduction za nguvuu watoto waliotoka Private wakaona eehe hii ndo shuleee..dadekii miezii ikaanza kukataaa na A level somo kama physics unaweza fika form six bado unasoma topic moja ya mechanics [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapo ndo utajua uliingia chaka kuwasikiliza waalimu ungekomaa ujisomeee na tuition maana Pepa wakitunga wanatunga mpaka ambavyo hawatarajiii kufundishaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…