Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa natafuta such a comment. Huu uzi nimesoma, aibu imenijaa mimi huku msambikanyukwa. Pamoja na sifa zote humu, na struggles za shule, yet.....mambo yanayoendelea katika sekta zote haviendani na elimu yetu/ufaulu wetu.Wana- perform vizuri shuleni ila hata kikwangulio cha karoti tunaagiza China.
Mwaka ganMtanzania pekee aliyekuwa T.O O-level na Advanced level ni Martin Chegere,Akaenda mlimani akawa best student,masters akaongoza,PhD Sweeden pia akaongoza!
now yuko Udm anapiga madogo pindi.
Yaani Chief Mr mutuu , Maticha wa Azania walikuwa hawapo serious sana lakini baada ya kuja kupata akili nikaja kugundua wengi pale walikuwa ni Mashushu. Kuna mmoja alikuwa anajifanya CUF kindakindaki lakini enzi za Jakaya Kikwete akawa ni Mkuu wa Wilaya na unajua kabisa Ma DC ni Chama Tawala lia lia 😂😂😂😂Maandazi tena chief😃😃😃
Huko mwaka NECTA walikua na hasira na sisi. One za masomo yote zilikua hazizidi 350 Tanzania yote aisee.Nina washkaji zangu wakali wa mathematics mwaka huo waliondoka na C ,hata ndegeulaya alipiga C ,ule mtihani wa mwaka 2013 ulikuwa wa laana aisee , Tanzania nzima A za advance mathematics zilikuwa 12
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ule mwaka walituamulia kuanzia HKL mpaka Kwa PCB.Hata miaka yetu 2013 physics ilikua haina A nchi nzima NI hatari aisee
Michael shaka alifichwa na kivuli Cha japhe ila na yeye ni mtu mbaad sana aisee.... Kuna mtu hapa anasema tele siku izi wanachukua mpaka 1.8 ndo namwambia kipindi chetu 1.5 hunusi telewalkuja telecom hawa enzi hizo telecom haishikiki na bado japhe aliongoz (first class honours) ila michael shaka alkuw wakawaida sana
Kwa mtu anayejielewa ni vizuri kwenda shule kama hizoHizi shule(mzumbe,pugu,kisimiri,ilboru,kibaha and the likes) japokua siku izi nyingi zimepoteza sifa zake aisee kama una moyo mwepesi usiende huko unaweza kupata depression au pressure ukashindwa kusoma
Miaka Hio mwisho wa miaka ya 2000 niliripoti Moja ya shule tajwa hapo combination ya pcm... Kipindi hicho special school wamejaa watoto wa dar kutoka (kibaha, Azania, pugu) aisee Hawa madogo wana sifa kishenzi.... Mtu anakuja kuripoti form 5 ameshamaliza topic zote za form 5 anakaribia kumaliza za form 6
Sasa si matozi tulivyomaliza form 4 vitabu tukatupa Kule mpaka siku ya kuripoti hujawahi kupiga pindi lolote... Unakutana na vitoto vimesoma sijui mchikichini huko aisee wamefuta topic zote, aisee nilipata presha sana mpaka kuzoea ile Hali.... Nakuta madogo wanapiga integration kama hawana akili, ukikaa bwenini wanaulizana kwa nguvu reaction za organic. Chemistry huko....
Dah yaani mwezi wa kwanza form 5 watu wanasolve necta review nikasema hapa nimeyatimba... Aisee ile presha ya ku catch up nilipata shida Sana sio Siri... Ukiwa na roho nyepesi unaweza kukata tamaa Moja kwa Moja
Kuna dogo tumeingia form 5 alikua anaitwa T.O (Tanzania one) alitukimbiza wote form 4 aisee huyu Jamaa mpaka Leo hua namuogopa. Hua namwambia hata hii kazi ya u engineer unayofanya unastahili kua somewhere else una potential kubwa sana, picha linaanza tumeingia form 5 hapo.... Sasa form 6 walikua wanafanya fitness tests (hii anatokea mwanafunzi mmoja au wawili wanatunga mtihani alafu wengine wanafanya japo sio lazima)
Ujinga wa hii mitihani wanafunzi wanajua kukomoana yaani maswali yote unakuta ya kibabe... Kuzungusha 0 huku ni kawaida tu ndo maana wengi walikua hawataki huu ujinga, dogo bana tunafika form 5 kaskia form 6 wanafanya fitness test ya physics dogo akazamia akapiga Pepa... Matokeo yanatoka form 6 karibu wote wamefeli dogo kawakimbiza.... Wote wanaulizana hili jina nani mbona hatumjui... Kuja kuulizia wakaja kugundua ni dogo wa form 5 aisee jamaa walimind kinoma akapigwa marufuku kabisa kusogeza pua kwenye fitness tests za form 6
Huyu dogo tulipofika form 6 sidhani kama aliwahi kukaa akasoma, jamaa alikua anakaa zake class watu wamepanga foleni na maswali Yao yaliowashinda dogo anapiga yote tu hajali kama ni ya physics, chemistry, pure au bam ye anasolve tu. Alikuja kua Tanzania one tena form 6 jamaa walimtangaza hesabu paper 1 na 2 zote alipiga 100%.
Huku kama una roho ndogo sio pa kwenda mi nusura panishinde nilitaka nirudishe mpira kwa kipa(kuhamia private)
Huko wanafunzi ndo walimu, aisee walimu wa special schools Wana raha sana hua hawahangaiki na kufundisha kabisa ,alafu matokeo yakitoka wanaenda kuchukua maokoto kwa Kila A iliyotokaKwa mtu anayejielewa ni vizuri kwenda shule kama hizo
Hao wanafunzi ndio watakuwa walimu wake walimu wake wa kumkatia mapindi
Haha kibosho umbwe hapo hukupata demu wa somsom au mlama kweli chief??Shule zote za government wanafunzi Wana viherehere nakumbuka nikiwa advance Kuna jamaa walinifukuza kwenye room kisa nalala Sanaa, eti nawatia uvivu kusoma yaani prepo ikiisha saa4, mijamaa inaunga kusoma Hadi saa6, alafu saa9 inaamka Dom Kuna viti na meza, na baridi la umbwe mijitu inajitesa tu
Nilikuwa na demu alikua anakaa mitaa ya kagera pale kwenye gulio,Haha kibosho umbwe hapo hukupata demu wa somsom au mlama kweli chief??
Umbwe shule ya kibabe, Kuna mwalimu alipigwa tofali usiku kwenye ile njia juu ya dining hall kuelekea nyumba ya walimu akakaa hospital zaidi ya mwezi, headmaster kaja parade anawaambia walimu ikifika saa Moja jioni marufuku mwalimu kuingia eneo la wanafunzi huko😃😃Nilikuwa na demu alikua anakaa mitaa ya kagera pale kwenye gulio,
Atakuwa kasoma Ekenywa huyu😂😂Kwa namna ulivyoandika sidhani kama kweli umesoma Kibaha, Mzumbe au Umenyeni Ilboru...(sorry)
Umeandika uzi kwa uoga sana, tabia ambazo waliosoma hizo shule hawakuwa nazo atleast kwa miaka hiyo...
Atakuwa kasoma Ekenywa huyu😂😂
😂😂😂😂........ndiyo. wanawake sketi ya light blueHivi wale wamenye wa Ekenywa walikuwa wanavaa suruali rangi ya zambarau?
🙏🙏🙏.........Enaboishu unaifahamu chifu?Nitake radhi chief