Unaniuliza kama najua maana yake wakati nimesoma huko... Hakuna Cha uchache Wala Nini sisi shule ilikua na combination 3 tu pcm,pcb na hgl ila tupo mijitu zaidi ya 200Unajua maana ya shule ya vipaji maalum na wanaopelekwa huko?
Kwanza wa nao pangiwa hizo shule ni wanafunzi wachache sana wenye outstanding performance pamoja na kuwa nasikia kuna wachache hudandia lori kwa mbele kwa sababu wanaweza
sasa kama wewe ni Kilaza ujue ni kati ya walio dandia lori kwa mbele.........
PCB MKUU.Msaada kijana wangu ana Phy-D,Bios-CGeog-C,Chem-C na Maths-D napo probably anaangukia Comb gani A level?
Advance Ina umuhimu wake🤣🤣🤣🤣🪑💺Sijaona sababu ya msingi ya kwenda advance mpaka sasa
[emoji23][emoji23][emoji23] namjua huyo.. C kamaliza dit...Umemaliza Pugu na kina Hassan ally sasa hivi engineer
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
MKUU SIJUI YUPO WAPI HUYU MWAMBA TOKA TULIPOMALIZA ADVANCE SIJAKUTANA NAE HUYO.Hivi huyu jamaa siku hizi yupo wapi?
MKUU SIJUI YUPO WAPI HUYU MWAMBA TOKA TULIPOMALIZA ADVANCE SIJAKUTANA NAE HUYO.Hivi huyu jamaa siku hizi yupo wapi?
MKUU SIJUI YUPO WAPI HUYU MWAMBA TOKA TULIPOMALIZA ADVANCE SIJAKUTANA NAE HUYO.Hivi huyu jamaa siku hizi yupo wapi?
Makampuni mbali mbali,mashirika,vyuo yalimtaka/vilimtaka akakataa offer akarudi nyumbani kurudisha kwa jamii(UDSM).Nikajua atakuwa Harvard, oxford, Cambridge anafundisha au kaajiriwa TESLA , google na makampuni makubwa ila kaishia UDSM ,duu basi hatari sana
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
KWELI MKUU.Haya ndo mambo ya msingi watu wanaweza kupeana connection huku huku
hakuna mtu mwengine aliyekuwa t.o o level na advance zaid ya martin chegere.MTAJE na miaka aliyomaliza!Huyu niliyesoma nae alikua T.0 o level na advance pia... Yaani alivyokuja advance akawa anaitwa T.O nadhani Kuna watu hata jina lake walikua hawalijui
Mwaka wetu top 10 jamaa ndo aliongoza huku hao Tisa wote waliobaki wakiwa mademu tupu, kipindi hicho kifungilo na Marian girls weka mbali na watoto
ndo kitu anapenda toka moyoni..kakataa offer B.O.T na sehemu mbali mbali ili tu apige chaki Yombo 4 &Yombo 5.kuongoza kote kaangukia kufundidha
Pale pa kuoshea vyombo daraja dogo majamaa walikua wanakunywa maji ya pale, sema uzuri chanzo kilikua palepale, nilienda nikakuta madogo wamekata topic zote wameanza kufukia za form 6 hapo Mimi mweupe teee nikaingiza baridi....
Uzuri Kule kumdaka mtu akupige pindi watu hawana noma, nikawa nadaka watu wakanipiga pindi mpaka nikakaa sawa ila kwa presha sana
Nilikuaga mtata sana nakumbuka chairman anileteaga pigo za kiboya nikamzingua, yaani umenyeni chairman anajikuta ana nguvu kama mwalimu vile, jamaa akanireport kwa headmaster... Nikaitwa parade eti nichapwe... Nikagomea fimbo jamaa chap akamwambia discipline muandikie suspension ya mwezi huyu... Nikapewa barua nikasepa zangu hapo tupo form 5 nilivyorudi shule jamaa wakawa wananiita mmenye(sio mwanafunzi) maana sio kwa ukauzu ule ndo maana nilivyoona umenyeni nimecheka sana
Yeah kamaliza DIT aisee[emoji23][emoji23][emoji23] namjua huyo.. C kamaliza dit...
nikitulia nitaleta kisa kilichonifanya nijifinze ngumi ilikua form2 hiyo.Nafurahi kugundua kuwa nakujua na vile ulisema wewe ni ngumi mkononi basi mpaka hapa wewe mimi nakujua vilivyo ndugu yangu .
Mwenzio mbali na kurukaruka ila nilienda Muhimbili na badae huko nje vipi mwanangu ulitobolea wapi mzee baba ?
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16]nikitulia nitaleta kisa kilichonifanya nijifinze ngumi ilikua form2 hiyo.
Nakumbuka tulikua tuna mechi ya mpira wa miguu na PUGU BOYS Tena wao ndiyo walikuja Azaboy.
Mimi nikiwa shabiki nilikwenda upande wa PUGU BOYS na kuanzisha FUJO wakaniuliza unaweza michezo niliwajibu ndiyo nikiwa Mimi na rafiki ZANGU WAWILI.
Wakanikabidhi dogo mmoja wa Form 1 tuzichape aisee nilichezea kichapo heavy mzee mpaka sasa huwa sisahau wenzangu walinikimbia niligongeshwa vitasa na Yule DOGO mpaka nikajiona bure kabisa[emoji23]
Haiwezekani siku ya pure ndiosiku ya bam.hapo umetupiga fix🤣🤣🤣🤣🪑💺Kuna dogo nyuma yetu alikua anasoma pcbm.... Yaani physics, chemistry, biology na pure mathematics.... Na bam juu nikawa namwambia ikifika necta utakataliwa kufanya mtihani wa pure mathematics maana hawawezi ruhusu usome masomo manne, aisee sijui ilikuaje nilikuja sikia aliruhusiwa kufanya mitihani yote
Wataalam hapa watatusaidia