sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nikitulia nitaleta kisa kilichonifanya nijifinze ngumi ilikua form2 hiyo.
Nakumbuka tulikua tuna mechi ya mpira wa miguu na PUGU BOYS Tena wao ndiyo walikuja Azaboy.
Mimi nikiwa shabiki nilikwenda upande wa PUGU BOYS na kuanzisha FUJO wakaniuliza unaweza michezo niliwajibu ndiyo nikiwa Mimi na rafiki ZANGU WAWILI.
Wakanikabidhi dogo mmoja wa Form 1 tuzichape aisee nilichezea kichapo heavy mzee mpaka sasa huwa sisahau wenzangu walinikimbia niligongeshwa vitasa na Yule DOGO mpaka nikajiona bure kabisa[emoji23]