Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

nikitulia nitaleta kisa kilichonifanya nijifinze ngumi ilikua form2 hiyo.

Nakumbuka tulikua tuna mechi ya mpira wa miguu na PUGU BOYS Tena wao ndiyo walikuja Azaboy.

Mimi nikiwa shabiki nilikwenda upande wa PUGU BOYS na kuanzisha FUJO wakaniuliza unaweza michezo niliwajibu ndiyo nikiwa Mimi na rafiki ZANGU WAWILI.

Wakanikabidhi dogo mmoja wa Form 1 tuzichape aisee nilichezea kichapo heavy mzee mpaka sasa huwa sisahau wenzangu walinikimbia niligongeshwa vitasa na Yule DOGO mpaka nikajiona bure kabisa[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inanikumbusha enzi zetu Singida tuliomba tufanye mock na ma form six Sema walitubania.
Nakumbuka ticha wa chemistry alikua akiingia darasani anajitetea kabisaa eti hatufundishani bali tunadiskass! Dadeki. Watu tulimeza topic zote za five kwa mkandawire. Ile elimu nyoko niulize saivi nna mbishe gani.
Una mishe gani kiongozi
 
ILA UTUNDU MWINGINE NI WAKIBOYA SANA.

Nakumbuka kipindi nipo Form 3 pale Azania Kuna mwalimu aliniita Yule mwalimu ni mgeni na Mimi kwa akili yangu nilidhani wa Field bhana.

Mwalimu mmoja hivi kapanda hewani White anafundisha advanced mathematics kwa waliosoma PCM na EGM watamkumbuka jina limenitoka.

Yule teacher aliniita akanipa elfu kumi nimchukuelie voucher Ya elfu moja halafu mfukoni nilikua Sina hata mia na nauli kutoka ya kuelekea kwatu kitunda Sina mfukoni ilikua mishale ya saa kumi na moja hivi namsubiri jamaa yangu nimgongee nauli yeye alikua Pindi.

Yule mwalimu alinipa ten alijichanganya hakuniambia acha begi hapa.

Mzee nilipotea mazima na ten la mwalimu.

Sasa kilichotokea nimemaliza form four nikachaguliwa pale pale Azania tukakututana kwenye kipindi Cha advance mathematics mwamba alinikumbuka lakini alikua Hana uhakika.

Alisema "wewe dogo simama" aliniuliza wewe o level UMESOMA wapi nilimjibu Azania

Alisema wewe hujawahi kukimbia na hela yangu kweli ??

Nilimjibu hapana mwalimu umenifananisha aliguna kwa mashaka mashaka darasa zima lilicheka mwamba nilikaa chini lakini nilitafakari sana sikuile [emoji23]

Utoto na utundu wa kijinga siyo kabisa.
 
Kuna mwenzake alikuwa anaitwa Jamal Juma Babu, huyu jamaa alikuwa kiboko[emoji23]
Huyu ndiyo alikua kiboko Sasa alikua mbele yetu Red Label.

Nakumbuka Form two alinyanyua mabanda yote.

Ngozye na ukali wake wote alikua hamchapi huyu asipochomekea na sikumbuki Kama niliwahi kuona kachomekea.

Baada ya paper ya Form two Feza boys walikuja kumchukua wakamsomeshe bure lakini Ngozye (headmaster) aligoma.

Huyu Jamal Juma (babu) tulikua tunamuita babu kwa kua kichwani kwake Kuna mvi za kutosha.

Huyu mwamba alikua anashea yake ya chakula Cha asubuhi, mchana kwenye ofisi ya head Master.

Pepa za mchikichini kwa hidden kachukua sana Zawadi yeye alikua nakwenda kufanya Pepa akisikia Kuna Zawadi tu kachukua sana Zawadi za hidden pale.

Huyu dogo alipiga 1.10 inavyosemekana alikata rufaa kuwa Kuna hujuma hayo siyo matokeo yake Sasa sijui matokeo yake yalikua ni yapi baada ya kukata Rufaa.

Baada ya kumaliza Azania form four Feza boys walimchukua Advanced level mwamba alikwenda Kusimamisha mabanda matatu ya PCM yaani 1.3

Mwamba alipeleka uturuki mpaka Sasa sijui yupo wapi.
 
Ww utakuwa OG/Mndewa mwenzangu,...Aza boy kitambo!! enzi hizo Baghdad anachana sana class!!
 
Nafurahi kugundua kuwa nakujua na vile ulisema wewe ni ngumi mkononi basi mpaka hapa wewe mimi nakujua vilivyo ndugu yangu .

Mwenzio mbali na kurukaruka ila nilienda Muhimbili na badae huko nje vipi mwanangu ulitobolea wapi mzee baba ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Dunia kijiji wakuu 😀
 
Umeongea ukweli mtupu, binafsi hiyo hali niliikuta Kigonsera Mbiga huko PCB jamaa kaja ameshasoma topics zote physics, biology na chemistry alinipa stress sana ila kwakuwa muda ulikuwepo nikasema nitamtumia yeye mwenyewe aniambukize madude maana walimu wenyewe walikuwa chenga tupu, ikafika muda jamaa akawa haingii class analala Bwenini tu tukajikuta darasa zima tuna notes zake 😂, baadae tukapata uhamisho sote na jamaa tukahamia shule moja nje kidgo ya jiji la Dar huko tukakutana na watabe wengine wakazidi kunitia stress pumbavu zao!! ndio na mimi nikaanza ku drop kwenda kwa kina Mkandawile na Makongo Sec school( Kuna mwalimu alikuwa anapiga biology hatar nimemsahau jina) nikiwa six nikaanza ku gain momentum nikaamua kukomaa na Biology , Chemistry tu Physics nikawa nishaikatia tamaa niliona inanichzesha ubongo wangu nikaiwekea target hata nikipata D sio mbaya ila nashukukuru Mungu mwishowe nilikuwa kupata dv 2 point 11 jamaa akapata div 3

Wakichaguliwa waende tu Kikubwa wawe wastahimilivu na kutotishika bali wawatumie kujifunza kutoka kwao.
 
Ofcourse ni macream tu ndiyo yako pale hata siku hizi.

Ubaya wa pale mademu wengi ni sura za baba na umbo la babu hivyo ukijichanganya ukatwisha mimba basi jua umeharibu taswira ya ukoo wako

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
🙄😞😞Kwahio hawapaswi kuwa na familia?,nani wa kuwazalisha kwama sio nyie wanaume?
 
Back
Top Bottom