Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Sasa wewe ni kazi gani unapenda? Kufagia?Ikitokea nimeoa..
Kufua
Kupika na kuosha vyombo ndio vitafanya nimkumbuke.
Nivitu nashindwa kufanya... Hasa kupika jamani sijui nani alianzisha huu mchezo wa kupika
Umeacha kulia sasa?ππππ
Kazi ya kuteka maji ni kazi nayomudu kwa asilimia 101%. Kuliko nifue nguo tano bora uniambie nibebe ndoo 10 kubwa za majiSasa wewe ni kazi gani unapenda? Kufagia?
Kwahiyi nyumbani kwako ukiwa na bomba ndio wife ahesabu maumivu ya kutokusaidiwa chochote ?Kazi ya kuteka maji ni kazi nayomudu kwa asilimia 101%. Kuliko nifue nguo tano bora uniambie nibebe ndoo 10 kubwa za maji
Utakuja kulizwa niulize mim.Kuna wale wabibi huwa wanapita kuomba kazi per day wanasaidia sana
Sidhani kazi nyumbani ni kufua, kupika na kuosha vyombo pekee.Kwahiyi nyumbani kwako ukiwa na bomba ndio wife ahesabu maumivu ya kutokusaidiwa chochote ?
Utakuja kulizwa niulize mim.
Hapa si zinaongelewa zile zinazomhusisha mke wako? Yaani anazofanya mwanamke?Sidhani kazi nyumbani ni kufua, kupika na kuosha vyombo pekee.
Nimecheka kwa sauti mkuuIkitokea nimeoa..
Kufua
Kupika na kuosha vyombo ndio vitafanya nimkumbuke.
Nivitu nashindwa kufanya... Hasa kupika jamani sijui nani alianzisha huu mchezo wa kupika
Aisee kazi mbili kwangu ni changamoto mnoooHabari, wajf. Kichwa habari kinaeleza.
1. Mimi kuosha vyombo. Hili tu.
Wewe je ni jambo gani Hilo mpaka linafanya umkumbuke Mkeo sio mchepuko hapa nazungumzia WIFE MATERIAL. Tiririka
Nakazia hizo kazi nyingine napiga fresh tuNikioa endapo atakuwa hayupo kazi ya nyumbani itakayo kuwa inanipa shida ni kutokula mbosousou yake tuuuuu
Uko Kama Mimi mkuuKuosha vyombo na kupiga deki.
Kuhusu kupika aisee napenda sana
π³ππππNikioa endapo atakuwa hayupo kazi ya nyumbani itakayo kuwa inanipa shida ni kutokula mbosousou yake tuuuuu