Alikusoma movement zako na kwa binti rahisi kuchoropoka
Na ni bora uwape kina mama watu wazima
Mim siamini mtu maan hilo sio tukio la kwanza.
Nishawai kuibiwa pia laki na 40 ndani lkn hazikutolewa sehem moja zilitolewa sehem mbili
Moja chini ya nguo kabatini, kwingine kweny wallet ndani ya mkoba,
Eeeeeh nikajajua kesho yake kabisa maan kuna pesa laki nne nilikua nimelipwa advance sherehe ya watu.
Ndo machale kunicheza kukagua vi ela vyangu mhhh vimepungua nikahisi ni mdada anaekujaga kunifanyia usafi nikiwa tait.
Basi nikampgia simu bimkubwa akasema nenda kwanza kwa mwenyekiti, kufika kwa mwenyekiti ndo kumueleza, huku na huko hadi nyumbani kwao na huyo dada.
Kumbana ndo akasema kweli alichukua pesa atanirudishia baada ya week nikamwambia mim sitak utoto nipe tu pesa angu, nikampgia simu mshkaji angu police kusikia police akakopa sijui wapi anajua yeye akanipa pesa angu.
Nikapata somo siku nyingine ndo hiyo nimetoka kununua vinguo nguo vyangu vikabebwa daaah