To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
😂😂😂hii imeendaaNakazia hizo kazi nyingine napiga fresh tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂hii imeendaaNakazia hizo kazi nyingine napiga fresh tu
😂 mjeshi achagui kazi😂😂😂hii imeendaa
Sana mwamba😂 mjeshi achagui kazi
Jamiii forum raha Sana , umetisha mkuu.Me sipendi kupika, hapo ndo napo muwaza wife , na kula mgahawani nako sipendi sababu mama lishe Wana waza faida chakula ni low quality, na kumpiga dudu. Kumpiga dudu muhimu sana .
Alikimbia na viwalo vyangu vipya kaniachia manyangara.Walifanya nini mkuu
Don't judge me kwa kusema siwezi fanya hizo kazi. .. Kufua nafua coz no way out but sipendi. But kupika sijui kabisa hata tambi chakula cha masela siwezi.. Sio kosa langu ni mazingira niliyokulia.Hapa si zinaongelewa zile zinazomhusisha mke wako? Yaani anazofanya mwanamke?
🤣🤣🤣🤣🤣Nikioa endapo atakuwa hayupo kazi ya nyumbani itakayo kuwa inanipa shida ni kutokula mbosousou yake tuuuuu
Aliona ni size yake akaona mambo yasiwe mengi 😄Alikimbia na viwalo vyangu vipya kaniachia manyangara.
Alaf ni kadada tu
Hakuna kazi nyingine 😄Mm kumpiga pumbu tu
Mhh yani ni aibu aisehAliona ni size yake akaona mambo yasiwe mengi 😄
Umetisha sanaKuamka asubuhi na kutandika kitanda, kwanza unajiuliza nipo chumbani namtandikia kitanda nani?
Ilikuwaje mkuuUmenikumbusha nilivyoenda nyumbani kusalimia.
Hatari mkuuKukuna Nazi🤒
Ilikuwaje mkuuk
Duuu noma Sana Mkuu, umetishaMm kumpiga pumbu tu