Kwa waliooa tu, jambo gani au kazi za nyumbani,zinakupa shida pindi mkeo anapokuwa amesafiri na umebaki mwenyewe nyumbani mpaka zinafanya umkumbuke

Hapa si zinaongelewa zile zinazomhusisha mke wako? Yaani anazofanya mwanamke?
Don't judge me kwa kusema siwezi fanya hizo kazi. .. Kufua nafua coz no way out but sipendi. But kupika sijui kabisa hata tambi chakula cha masela siwezi.. Sio kosa langu ni mazingira niliyokulia.

Ila kudeki, kufagia kupanga vitu kuandaa vitu vya kupika naweza msaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…