uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Alikimbia na viwalo vyangu vipya kaniachia manyangara.
Alaf ni kadada tu
Kuna Uzi unakuja nauandaa mtiririkeNilikuta nyumba kama nilivyo hiyacha.
To yeye naye anavyopenda msererekoSana mwamba
Alikua nje mim nilitoa nguo, sabuni vibania na mabeseni.Pole sana
Unamtolea vitu nje afanye usafi kumuingiza ndani sio salama
Alikua nje mim nilitoa nguo, sabuni vibania na mabeseni.
Eeeh kukuta mtu hayuko.
Mim siamini mtu maan hilo sio tukio la kwanza.Alikusoma movement zako na kwa binti rahisi kuchoropoka
Na ni bora uwape kina mama watu wazima
sasa ni wakati wa kufurahi maana wazambia wenzangu watanifariji ikifika saa mbili japokua natamani kulia mkuuUmeacha kulia sasa?
[emoji41][emoji41][emoji41]Uko Kama Mimi mkuu
Nilijua wangu pekee ndo mvivu aisee unaamka unamuandalia maji breakfast mnyoshea nguo viatu kila kitu najiangaa naenda mizunguko narudi sa mbili usiku kitanda hajatandika japo nilimucha kalala..nilijitahidi kukuelewesha kuna dharula zipo utarudishwa siku moja home watu wanakuta chumba kiko vululu hivo akajirekebisha kwa kuondoa neti ila blanketi na vinhinevyo unavikuta vile vile..Kuamka asubuhi na kutandika kitanda, kwanza unajiuliza nipo chumbani namtandikia kitanda nani?
ukishaoa ukikaa muda mrefu mkeo anakua kama dadayako tu.Nikioa endapo atakuwa hayupo kazi ya nyumbani itakayo kuwa inanipa shida ni kutokula mbosousou yake tuuuuu
KunyanduanaHabari, wajf. Kichwa habari kinaeleza.
1. Mimi kuosha vyombo. Hili tu.
Wewe je ni jambo gani Hilo mpaka linafanya umkumbuke Mkeo sio mchepuko hapa nazungumzia WIFE MATERIAL. Tiririka
Kazi kubwa sana inayomshinda jirani yangu ni kujizuia kulala na house girl mke akiondoka! Anasema anajitahidi mno, lakini ni kazi kubwa kuacha!Habari, wajf. Kichwa habari kinaeleza.
1. Mimi kuosha vyombo. Hili tu.
Wewe je ni jambo gani Hilo mpaka linafanya umkumbuke Mkeo sio mchepuko hapa nazungumzia WIFE MATERIAL. Tiririka
Mi kiukweli wife kama hayupo ishu inakuwa sio vitu vya kufanya. Ishu hiyo kitu nakuwa kama nimefiwa nashindwa kabisa kukaa nyumban na watu wengine. Bora niende Bar nirud usiku mnene nilale masaa kadhaa niende job. Aliwah kulazwa na mtoto siku nne daah ilikuwa ni bonge la mtihan.Habari, wajf. Kichwa habari kinaeleza.
1. Mimi kuosha vyombo. Hili tu.
Wewe je ni jambo gani Hilo mpaka linafanya umkumbuke Mkeo sio mchepuko hapa nazungumzia WIFE MATERIAL. Tiririka
Hamna kitu huwa kinanichosha kama kutoka safarini naingia chumbani nikute kipo rafu. Huwa napata uchovu mara mbili, wa safari na wa kukuta chumba hakijapangwa. Sipendi hii kitu.Kuamka asubuhi na kutandika kitanda, kwanza unajiuliza nipo chumbani namtandikia kitanda nani?