Kwa walioolewa: Ulikutaje Nyumba au Chumba chako uliporudi kutoka Safari ambayo ulienda peke yako bila Mwenza?

Acheni uchafu kwa Kisingizio cha Uanaume. Tulioolewa na Waseminari hii kitu hawana, yaani kila kitu kimenyooka, ustaarabu kila mahali.
Kabisaa Kal....na hongera pia ...
Jmn Nina 2 ex's🤣
Mmoja mseminary ,alooo mpk shidaa sio uwa usafi ule ..
Huyu mwingine ni mkaka tu very smart yaani
Anafua,anadeki ,anapanga vitu ,alooo
🙌🙌🙌
 
Kabisaa Kal....na hongera pia ...
Jmn Nina 2 ex's🤣
Mmoja mseminary ,alooo mpk shidaa sio uwa usafi ule ..
Huyu mwingine ni mkaka tu very smart yaani
Anafua,anadeki ,anapanga vitu ,alooo
🙌🙌🙌
Thanx dia...yani ni hatari...wakati tumeanza kudate....ukiiingia room yake mpk unashangaa kila kitu kiko kwenye mpangilio...kitanda sasa kimetandikwa kimenyookaaa..anasema shule ilikua ukikutwa hujapangilia cube yako unayolala hyo adhabu yake sio ya kitoto...
 
Mi sio msafi sana wala mpangiliaji wa vitu ila siwezi kojoa na kujaza mikojo ktk chupa, sipendi harufu ya uvundo, sipendi choo kiwe na harufu, shuka sipendi liwe chafu maana ntaota ndoto za ajabu na mafua makali
 
Acheni uchafu kwa Kisingizio cha Uanaume. Tulioolewa na Waseminari hii kitu hawana, yaani kila kitu kimenyooka, ustaarabu kila mahali.
Kwa kweli Mimi uchafu sipendi lakini inategemea na mazingira niliyopo, kwa sasa Niko peke yangu, nyumba inakuwa Safi nje ndani lakini suala la kuoga ni Mara moja kwa siku, nikikoga asubuhi ndio imeisha hiyo, nikirudi najitupa tu kama gunia la mbatata, Sina wa kunikera ya nini kujipa shida zote utafikiri nafuga majini kulala kwa masharti lazima ukoge ndio upate usingizi, nikiwa na mwenzangu nitakoga kwa sababu sipendi kukerana na mtu kwa majasho yangu lakini nikiwa mwenyewe najiachia tu si Niko kwangu?
 
Toka nilivyoweka neti mwezi wa 11 baada ya mbu kuanza. Sijaichomoa tena
Mm sio mpangiliaji mzuri wa vitu ila napenda vitu viwe katika mpangilio. Yaani apangilie mtu mwingine [emoji41][emoji41]
[emoji16][emoji16][emoji16] dah wee jamaa hatari, Mimi naweza kuiwacha nisiioshe hata miezi sita lakini kuchomoa nachomoa Kila siku, sema unaonekana wewe ni mvivu sio mchafu, yaani kuchomoa tu net unashindwa? Mimi huwa sipendi ile harufu yake nikiamka kwahiyo ili nikirudi usiku nisiisikie inabidi nikiamka tu nichomoe, sema kwangu Mimi hakuna mbu kivile sikumbuki miezi mingapi imepita sijachomekea neti
 
Kama ulikuabna mke akawa anafanya usafi akiwa hayupo hutaweza kufanya kama yeye usafi tunaojiringishia sisi wanaume ni ule usafi wa kuosha vyombo vyote hata ambavyo sio vichafu nakuweka kwenye beseni 1 kutafuta kijiko ndio shuhuli.

Au kifua nguo na kulundika kama mnadani ukitaka kutoka ndio unanyoosha unasepa

Nishabaki mwenyewe nilijitahidi kwenye usafi ila wapi nikikom\a na huku nafeli kule
Naosha vyombo nashindwa kupanga hivyo kuepuka usumbufu wa kutafuta nachukua kilichopo karibu naosha natumia, naweza tumia vyote af ndio nikaviosha tena

Nilikua nafua mashuka na nguo zote ila naweka kitandani naweka na begi ili nizikunje ila inakua ni mwendo wa leo jioni, kesho asubuhi hivyo hadi nikawa nalala katikati upande wa ukutani naweka nguo safi na upande mwingine chafu

Hichi ni kipindi najiona nilikua msafi sasa wakati nikiwa mchafu mhh hadi aibu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Demu wangu akija geto huwa anakuta kusafiiiiiiiii..mpaka huwa nawaza huwa anafirikira nini??sjui ashajua kuwa huwa anakuja demu wangu mwingine kufanya usafi??btw nina mademu watatu.
 
Huyo ni kama demu angu tu..yaani akitimba magetoni hata akikuta nimesafisha anaanza kusafisha upya,na kupanga vitu upyaa..namkubali sana kwa kipengele hicho
 
Kwel kabisa huo ni ujinga
 
Humkeri mtu tajiri... 😆 😆
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwanaume mzima unaogopa chura [emoji15] ati nikaenda kulala kwa mshikaji,[emoji849]
Huna hata aibu!
Jamaa anadhani akiji softisha na kujibebisha labda ndiyo atawavuteni madem kirahisi😅.
Kuna watu wa kiume wapo tayari kupaka lipstick hata kuvaa vigodolo ili tu wawavutie na kuwapata watoto wa kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…