Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
MmhSifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.
Ukienda anakokaa mwanamme pekee yake ukakuta ni kusafi na kumepangiliwa vizuri ujue huyo si mwanamme kamili ni mwanamke mwenzio.
Hapana Kuna wakaka wasafi,wapo