Kwa walioolewa: Ulikutaje Nyumba au Chumba chako uliporudi kutoka Safari ambayo ulienda peke yako bila Mwenza?

Kwa walioolewa: Ulikutaje Nyumba au Chumba chako uliporudi kutoka Safari ambayo ulienda peke yako bila Mwenza?

Nakumbuka wife alipojifungua alienda kwao kwaajl ya uzazi....siku aliyorudi naona alihisi amekosea nyumba....kiufupi Kila sehemu ilikua kama mnadani, hapo kitandani unaweza kuhisi ni sehemu yakuhifadhia mashuka machafu na nguo chafu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Sifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.

Ukienda anakokaa mwanamme pekee yake ukakuta ni kusafi na kumepangiliwa vizuri ujue huyo si mwanamme kamili.
Mshaanzaa kutetea upuuzi. Lok
 
Nna mwanangu mmoja kila anavyonielezea kuhusu geto kwake namna anavyosafisha kuweka vtu ktk mpangilio na kufangia kila muda huwa namsikiliza mwisho huyu kwangu simkaribishi kabisa
Sifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.

Ukienda anakokaa mwanamme pekee yake ukakuta ni kusafi na kumepangiliwa vizuri ujue huyo si mwanamme kamili.
 
Kuna ghetto niliomba hifadhi, jumla tulikuwa tunaishi watatu. Wenzangu wanaenda kazini saa mbili asubuhi wanatoka saa tisa alasiri. Mimi nilikuwa naondoka saa 12 asubuhi kurudi saa tano usiku na nakuwa nimechoka sana. Sasa ghetto lilikuwa chafu balaa na muda mwingi jamaa wapo tu free wanacheki filamu. Sasa kuna wakati maji ya mvua yaliingia ndani, walichofanya waliweka tofali kuelekea kwenye kitanda. Yale maji yalikaa mule ndani hadi yakakauka likabaki tope tu lililoganda. Hadi naondoka kwenye lile ghetto halikuwahi kufanyiwa usafi.
 
Embu nioneshe binadamu aliyekamilika Kila kitu.... Hata hvyo mm sio mchafu ni vile tu sisi wanaume majukumu yakiwa mengi Kuna mambo tunayapuuzia as long as halivunji heshima kwenye jamnii
Hebu rejea post yako kasome,umeandika as if ni jambo la kufurahisha sana yaani kama ni jambo la kusifiwa...Kwa vile hakuna mkamilifu Hizo ndio weakness unatakiwa ujue namna ya kujicover Kwa ajili ya utu binafsi.. Anyways nisamehe kama nimekukwaza tunakumbushana tu...✌️
 
Sifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.

Ukienda anakokaa mwanamme pekee yake ukakuta ni kusafi na kumepangiliwa vizuri ujue huyo si mwanamme kamili.
WEWE NI MPUMNAVU SANA...Nyie ndo hamuogiii nywele za ikulu hamnyoi kwapa linanuka kama mbuzi kmmk alafu unasema huo ni uanaume ulisikia wapi..Kuna chance nyingi sana zinapotea kwasababu ya Uchafu..unajishisha nyota kamanda Uchafu hautakupeleka popote zaidi ya hospital kwa mafangasi na magonjwa SHENZI KABISA
 
Kuwa mchafu ni mbaya iyo ila suala la kuwa na mpangilio mazingira uanyoishi huo ni mtihani kwa wanaume wengi sana. Mimi binafsi usafi wa nguo na mwili nazingatia ila linapokuja suala la kupanga nguo kabatini, kutandika kitanda, kukunjua neti nikiamka hapo ndipo kwenye mtihani.
 
Mimi huwa nakuta shuka analotandika kitandani limefungwa pande zote ili lisichomoke. Kwahiyo akilala akiamka hamna haja ya kutandika.

Vingine navikuta kama vilivyo, hagusi kitu zaidi ya anapokaa aangalie TV. Hapiki hata chai hadi mbwa anawanunulia chakula.
Najiona
 
Nilibahatika kumsindikiza dada mmoja kwake na mizigo yake akiwa amerudi safari. Sasa ile namsaidia kuiingiza vitu ndani, sebuleni nilichokiona ni hatari!

Kweli sisi wanaume ni wachafu ila yule jamaa noma, gamboot na tope zake ndani, soksi juu ya meza, chupa za soda chini ya meza, mabuibui, yaani sio mchezo.

Sasa hapo ni sebuleni, chumbani sijui kulikuwaje! Wanawake mna mchango.
Miaka hiyo napoa gheto,niliweka vyombo vichafu kwenye yale mandoo makubwa nikafunikwa kesho yake nikawa natakiwa kwenye usaili mikoa ya mbali ambako pia nina ndugu,asbh bila kukumbuka ishu ya tuvyombo twangu nikapanda kusepa,
Nikaenda usaili ukaisha nikapoapoa mkoa huo kuchek ramani za maisha nikaacha nimesambaza barua ,nikarudi zangu gheto,

Bwanawee vile vyombo kwenye ndoo nilikuta wameota wadudu na vitu vya kutisha,nilichimba shimo nilavifukia tu ardhini ,nisingeweza tumia tena.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna ghetto niliomba hifadhi, jumla tulikuwa tunaishi watatu. Wenzangu wanaenda kazini saa mbili asubuhi wanatoka saa tisa alasiri. Mimi nilikuwa naondoka saa 12 asubuhi kurudi saa tano usiku na nakuwa nimechoka sana. Sasa ghetto lilikuwa chafu balaa na muda mwingi jamaa wapo tu free wanacheki filamu. Sasa kuna wakati maji ya mvua yaliingia ndani, walichofanya waliweka tofali kuelekea kwenye kitanda. Yale maji yalikaa mule ndani hadi yakakauka likabaki tope tu lililoganda. Hadi naondoka kwenye lile ghetto halikuwahi kufanyiwa usafi.
Wachafu wakubwa wote watatu.
 
Mwaka Jana nlisafiri masika nkaenda kulima bush,basi nkakaa kama wiki mbili,Ile narudi usiku mechoka balaa nkajitupa kitandani na viatu nkaanza kuota kama nipo mtoni naskia sauti za vyura,ila Ile sauti ikawa kama inatokea kichwani mwangu,dakika Moja nyingi nkakurupuka Kumbe frog yupo chini ya kitanda.
Yaani wenge lote la usingizi likakata nkawa najiuliza kaingilia wapi au niwa kutumwa,nikagundua alipitia chini ya mlango palipokuwa na uwazi.
Sasa mawazo yakazidi kuwa kama kaingia chura ,nyoka atashindwaje,nikatoka nkaenda lala Kwa mshkaji kesho yake nikafanya famigesheni huwezi amini Ili kuwa kama zoo ya wadudu maana walitoka wengine hata siwafahamu.
Mmmhhh mpka umenisisimua,mm mtu wa dzyn yko siwez kukaa naye siyo kwa uchafu huo.
 
Back
Top Bottom