Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

Mbona dr Kamata hana shida alitufundisha mpole au ndo bwebwe zimempungua

stori ndefu ugomvi ulianza siku moja tulikua na test yake basi akatukuta maeneo ya hillpark tunajiachia . ha ha ha ha ikawa balaa
 

bila kumsahau Dr. Natu mwamba sasa ni naibu gavana wa benki kuu , Suleiman ngware namkumbuka mkuu halafu hivi kama sikosei mkewe au dada ake ni lecturer hapo udsm.
 
mke wake na watoto wake watatu ni malecturer pale Udsm na Ardhi.

bila kumsahau Dr. Natu
mwamba sasa ni naibu gavana wa benki kuu , Suleiman ngware namkumbuka
mkuu halafu hivi kama sikosei mkewe au dada ake ni lecturer hapo
udsm.
 
Wewe unamaanisha Rich Mugogo. Alikuwa na sauti kubwa, tumbo kubwa na kelele nyingi sana.

Hapana, siyo Rich
Mwita. Ni Rich mwingine (bonge) anatokea mbeya na alikuwa ndani ya
Daruso kama waziri wa Shuttle
 
bila kumsahau Dr. Natu mwamba sasa ni naibu gavana wa benki kuu , Suleiman ngware namkumbuka mkuu halafu hivi kama sikosei mkewe au dada ake ni lecturer hapo udsm.

Prof. I presume. Suleiman ngware jamaa anamkwara sijawahi kuona. Alimkuta binti yake na jamaa kwenye kichaka wamesimama. badala ya kupandisha aliwashika mikono na kuwaambia njooni muongelee ndani nje mtaumwa na nyoka. kufika ndani akawafungulia soda . Dogo kiwembe acha jasho limtoke. alijua mtego kumbe Ngware wala.
 
Watoto mlosoma CHUO CHA KATA mna tabu sana!kelele nyiingi kichwani 0...karibuni HAVARD.
 
Umenikumbusha mbaali sana, enzi za kunji la kukomaa ifutwe 40% kisha kukomaa yasiwepo madaraja. Kipindi hicho Udsm ilikua Udsm kweli siyo hizi nyakati za leo. Odoooong...

Kunji la bwana Odong alikua akiongoza maandamano mbele na baiskeli phonex chakavu,Jamaa alikua mwanaharakati wa kweli,serikali ilimpiga ban ndani ya 24 hrs arudi kwao Uganda.
 
Mkuu nadhani baada ya enzi ya Odong na mtatiro ndio kikaja kizazi cha kipara na Rich. hapo katikati enzi za kina mlowe, kiswaga hali haikuwa tete sana.

Mlowe na Kiswaga walikuwa wateule wa Utawala.

Mlowe alipata support ya Utawala coz of Odong Odwar's desire to become the DARUSO top chief.

Kiswaga alipata support ya Utawala coz he was so cool and non active. Amshukuru aliyekuwa PM wake (Enosy) kwa kufanya kazi nzuri.

Kiswaga baada ya upresida Mlimani aliteuliwa kuwa DC.
 
Hahaahaaaa mkuu umemaliza kabisa haahaaa,,,,John Komba alikua mature entrant..hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mwita mpaka alifungia ndoa pale pale Chuo,,jamaa kweli alikua fisadi japo watu walimpigania na walikua wanampenda sana kuliko makoye.
Awamu iliyofuata yaani Julius Mtatiro ndo kama alikua raisi kabisa.
 

Mkuu baadae Mwita Mwikabe alikuja ku dissapoint sana wanafunzi,Alifanya ufisadi Daruso,pamoja na kushiriki kuuza rooms.
 
enzi za mtungirehi. foe walikuwa hawampendi. waliwahi kumshusha high table nkrumah kwa kichapo chuo kikafungwa.

Yap tena ni sisi G211 kutoka FOE.Duu nimekumbuka mbali sana akina JP!!Barozi...Mumwi!DM na Daniel Mwita na enzi hizo Mzee Puch ni moto wa kuotea mbali na msemo wake maarufu kukutana na MZEE means DEATH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…