Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

Mkuu mwaka 2011 mwishoni ilikuwa balaa, nadhani balaa ndio liliishia pale. kuna vijana kama kina Ambrose walikuwa wanatisha sana kwenye nyanja ya harakati. Rais Kilawa alishindwa kabisa kukabiliana nao. Waziri mkuu Hassan Mustapha nae alichemka kabisa.

udsm ilikua enzi zile
tunapinga uanzishwaji wa bodi ya mikopo siyo sasa. nina mwaka wa tano
sijasikia kunji udsm
 
sijui ndio huyo al shabab alisema akifukuzwa chuo atajua mambo mawili kuweka risasi katika bastola na kushoot, alifukuzwa na hayo mambo mawili sikuona kafanya.

wanaharakati wengi walikua wanaume enhee

Hahaha, siku ile tupo utawala alishabibi akasema "mke mwema anatoka kwenye matatizo"
Siku hizi kapendeza yupo pande za tabata mawenzi. I think alipata kazi kwenye one of the leading printing company in TZ. Alshabibi namkumbuka alikuwa mtata tangu anasoma Bagamoyo sec, alikuwa na jamaa yake (namwonaga anatangaza mlimani TV cku hizi), maticha walimpiga sana binti hasikii, alikuwa amezimika kwa chalii
 
Mkuu,
tuambie kidogo, enzi hizo mlikuwa na TASK FORCE?

udsm ilikua enzi zile
tunapinga uanzishwaji wa bodi ya mikopo siyo sasa. nina mwaka wa tano
sijasikia kunji udsm
 
Hahaha, siku ile tupo utawala alishabibi akasema "mke mwema anatoka kwenye matatizo"
Siku hizi kapendeza yupo pande za tabata mawenzi. I think alipata kazi kwenye one of the leading printing company in TZ. Alshabibi namkumbuka alikuwa mtata tangu anasoma Bagamoyo sec, alikuwa na jamaa yake (namwonaga anatangaza mlimani TV cku hizi), maticha walimpiga sana binti hasikii, alikuwa amezimika kwa chalii

Alshabab nasikia yuko UDOM mwaka wa pili. Mwakani atagraduate
 
Waliokuwa DARUSO ndio wengi wao wamerudishwa. Al-shabibi alinikosha kwenye ile ruti ya kudai buku kumi, wakati askari wanataka kumkamata, aliingia mtaroni akatoka amejaa matope, wakamuacha aende zake.

Hahaha, siku ile tupo utawala alishabibi akasema "mke mwema anatoka kwenye matatizo"
Siku hizi kapendeza yupo pande za tabata mawenzi. I think alipata kazi kwenye one of the leading printing company in TZ. Alshabibi namkumbuka alikuwa mtata tangu anasoma Bagamoyo sec, alikuwa na jamaa yake (namwonaga anatangaza mlimani TV cku hizi), maticha walimpiga sana binti hasikii, alikuwa amezimika kwa chalii
 
Mkuu naona ulipita nilipopita, mimi ndie niliyepaka rangi nyekundu bweni la Mapinduzi. hahahaha

Hahaha, siku ile tupo
utawala alishabibi akasema "mke mwema anatoka kwenye matatizo"
Siku hizi kapendeza yupo pande za tabata mawenzi. I think alipata kazi
kwenye one of the leading printing company in TZ. Alshabibi namkumbuka
alikuwa mtata tangu anasoma Bagamoyo sec, alikuwa na jamaa yake
(namwonaga anatangaza mlimani TV cku hizi), maticha walimpiga sana binti
hasikii, alikuwa amezimika kwa chalii
 
Mkuu nimemuona Bokasa namba 11. Baada ya kufukuzwa chuo na maisha kuwa magumu nasikia Bokasa aliokoka na kuamua kuingia kwenye dini.

Yeah, siku hizi ni mlokole kwa sana. Anapatikana mara mojamoja maeneo ya Msewe Gorani. Katulia na kabadilika sana
 
Enzi zole Philip Mulugo ni katibu DARUSO. rais wake Lema Godbless na huyu Amos Makala alikua fresher. enzi zile Professor Maji Marefu ndio amehamishiwa UDSM akitokea SUA. akaja UDSM botany. John Komba aliingia kama mature entrant. alikua mwembamba huwezi kuamini na alikua mlokole.
 
Hahaha, siku ile tupo utawala alishabibi akasema "mke mwema anatoka kwenye matatizo"
Siku hizi kapendeza yupo pande za tabata mawenzi. I think alipata kazi kwenye one of the leading printing company in TZ. Alshabibi namkumbuka alikuwa mtata tangu anasoma Bagamoyo sec, alikuwa na jamaa yake (namwonaga anatangaza mlimani TV cku hizi), maticha walimpiga sana binti hasikii, alikuwa amezimika kwa chalii

huyu dada mpenda fujo symester ilopita tulikuwa Giza siku tatu akatutoa mob tukaziba load. siku ya uchaguzi daruso alikuja pia bibo. si Mara yangu ya kwanza kusikia Kuwa kaajiliwa sehemu ila mwenyewe anadaigi kuwa alirudishwa yuko mwaka watatu! anaipenda UD
 
Mliosoma kile chuo cha kanisa hizi harakati mtasimuliwa tu.

Enzi zole Philip Mulugo
ni katibu DARUSO. rais wake Lema Godbless na huyu Amos Makala alikua
fresher. enzi zile Professor Maji Marefu ndio amehamishiwa UDSM akitokea
SUA. akaja UDSM botany. John Komba aliingia kama mature entrant. alikua
mwembamba huwezi kuamini na alikua mlokole.
 
Enzi zole Philip Mulugo ni katibu DARUSO. rais wake Lema Godbless na huyu Amos Makala alikua fresher. enzi zile Professor Maji Marefu ndio amehamishiwa UDSM akitokea SUA. akaja UDSM botany. John Komba aliingia kama mature entrant. alikua mwembamba huwezi kuamini na alikua mlokole.

Mkuu ndo umeamka ee?
 
huyu dada mpenda fujo symester ilopita tulikuwa Giza siku tatu akatutoa mob tukaziba load. siku ya uchaguzi daruso alikuja pia bibo. si Mara yangu ya kwanza kusikia Kuwa kaajiliwa sehemu ila mwenyewe anadaigi kuwa alirudishwa yuko mwaka watatu! anaipenda UD

Unayemwongelea wewe siye. She is out of udsm politics. Utakuwa unakaongelea kadada flani kakutokea songea nako kanapiga harakati. DARUSO walijitahidi sana kukazimisha mpk ikabidi ajitolee jamaa mmoja (excom) akawa anakagegeda ndo kakapunguza mzuka
 
Enzi zile super coach Sylersaid Mziray na Joel Bendera ni wakufunzi wa michezo. enzi za hexagonal professor six people in a room. Maji marefu alikua anakaa hall four na room mate wake Freemam Mbowe. chuo kilikua chuo kweli sio sasa
 
Back
Top Bottom