Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bokasa sijamsahau. Cheki.kwenye list ni winger ya kushoto
udsm ilikua enzi zile
tunapinga uanzishwaji wa bodi ya mikopo siyo sasa. nina mwaka wa tano
sijasikia kunji udsm
tetesi. kijana mzima na kunatetesi amepenyezwa na wa aharakati
sijui ndio huyo al shabab alisema akifukuzwa chuo atajua mambo mawili kuweka risasi katika bastola na kushoot, alifukuzwa na hayo mambo mawili sikuona kafanya.
wanaharakati wengi walikua wanaume enhee
udsm ilikua enzi zile
tunapinga uanzishwaji wa bodi ya mikopo siyo sasa. nina mwaka wa tano
sijasikia kunji udsm
Hahaha, siku ile tupo utawala alishabibi akasema "mke mwema anatoka kwenye matatizo"
Siku hizi kapendeza yupo pande za tabata mawenzi. I think alipata kazi kwenye one of the leading printing company in TZ. Alshabibi namkumbuka alikuwa mtata tangu anasoma Bagamoyo sec, alikuwa na jamaa yake (namwonaga anatangaza mlimani TV cku hizi), maticha walimpiga sana binti hasikii, alikuwa amezimika kwa chalii
Waliokuwa DARUSO ndio wengi wao wamerudishwa. Al-shabibi alinikosha kwenye ile ruti ya kudai buku kumi, wakati askari wanataka kumkamata, aliingia mtaroni akatoka amejaa matope, wakamuacha aende zake.
Hahaha, siku ile tupo
utawala alishabibi akasema "mke mwema anatoka kwenye matatizo"
Siku hizi kapendeza yupo pande za tabata mawenzi. I think alipata kazi
kwenye one of the leading printing company in TZ. Alshabibi namkumbuka
alikuwa mtata tangu anasoma Bagamoyo sec, alikuwa na jamaa yake
(namwonaga anatangaza mlimani TV cku hizi), maticha walimpiga sana binti
hasikii, alikuwa amezimika kwa chalii
Mkuu nimemuona Bokasa namba 11. Baada ya kufukuzwa chuo na maisha kuwa magumu nasikia Bokasa aliokoka na kuamua kuingia kwenye dini.
Alshabab nasikia yuko UDOM mwaka wa pili. Mwakani atagraduate
Hahaha, siku ile tupo utawala alishabibi akasema "mke mwema anatoka kwenye matatizo"
Siku hizi kapendeza yupo pande za tabata mawenzi. I think alipata kazi kwenye one of the leading printing company in TZ. Alshabibi namkumbuka alikuwa mtata tangu anasoma Bagamoyo sec, alikuwa na jamaa yake (namwonaga anatangaza mlimani TV cku hizi), maticha walimpiga sana binti hasikii, alikuwa amezimika kwa chalii
Wengine twasikiliza tu
Enzi zole Philip Mulugo
ni katibu DARUSO. rais wake Lema Godbless na huyu Amos Makala alikua
fresher. enzi zile Professor Maji Marefu ndio amehamishiwa UDSM akitokea
SUA. akaja UDSM botany. John Komba aliingia kama mature entrant. alikua
mwembamba huwezi kuamini na alikua mlokole.
Enzi zole Philip Mulugo ni katibu DARUSO. rais wake Lema Godbless na huyu Amos Makala alikua fresher. enzi zile Professor Maji Marefu ndio amehamishiwa UDSM akitokea SUA. akaja UDSM botany. John Komba aliingia kama mature entrant. alikua mwembamba huwezi kuamini na alikua mlokole.
huyu dada mpenda fujo symester ilopita tulikuwa Giza siku tatu akatutoa mob tukaziba load. siku ya uchaguzi daruso alikuja pia bibo. si Mara yangu ya kwanza kusikia Kuwa kaajiliwa sehemu ila mwenyewe anadaigi kuwa alirudishwa yuko mwaka watatu! anaipenda UD