Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

Mkuu huyu Silinde tunasikia alikuwa mkali sana, hasi alipoikataa TAHLISO na kuanzisha UVIJUTA.

Alikuwa anaushawishi mkubwa sana akisimama pale revolution square. Na sasa hivi ni mbunge kupitia chama cha Chadema huko mbozi mbeya nadhani. Ila kipindi kile wanaharakati walikuwa wametimia. Kina Salumu ambaye ni kiongozi mkubwa tu sasa umoja wa vijana CCM hawakuiweza hiyo team iliyokuwa ikiundwa na Kuna Mwachibya aliyekuwa rais wa Daruso. Akina Steven Owawa, Silinde na wengineo..... Nakumbuka pMtati keshamaliza udsm lakini polisi walimkamata wakisema yeye ndio aliyehamasisha Hilo kunji.
Chuo kilifungwa na tukatakiwa wote kujisajili upya. Sitasahau mabomu ya machozi walipoanza kutuvumurishia tulipofika pale mlimani city, watu wakarudi nyuma na kujipanga upya na madumu ya maji. Mkandala kajifungia ofisini haha na kesho yake mida ya saa nne akatangaza wChuo kimefungwa.
 
hawajapewa na wako kimya huku makazini wanatia huruma unawatoa nauli kishikaji hahahhh
NAWAAMBIA KAMA BABA NA MAMA WALIKUAMBIA UKIFIKA CHUONI USIDAI HAKI YAKO ITAKUKOST

Hawajui kwamba lazima wacache waumie ili kunufaisha the rest of the dents..... KILA MTU ANAOGOPA KUTAKE RISK NAWAAMBIA INGEKUA HIVYO HATA HIYO BUKU 7 NA 500 mgekua bado hamjapata alaaa

UNAKUMBUKAA KUNA KIPINDI WATU WALIKULA KWA KUPONI HHAHAHAAHAHAH sitasahau aisee

Yani ni shida wana nidhamu ya woga lazima iwa cost ni haki yao lakini hawadai vyuo vingne hawatakagi kugoma wanaogoma eti unakuta wanatuma message udsm gomeni basi ili tuongezewe hela hawa taki kuji sacrifice na wataendelea kuburuzwa hvi hvi hi semister ya mwisho walichelewa kuweka hela watu.walishakuwa serious na kunji wamejiandaa jumatatu mbona usiku wa jumapili walibandika majina ya kusaini sasa wawe waoga hivo hivo hafu baada ya Ud kupewa vyuo vingne walisugua benchi mpaka waache uoga
 
Sayuni unaonekana hukuvuma lakini umo. Kuna dada mmoja alikuwa anaanzisha wimbo wa Taifa pale Rev Square, yule dada alikuwa jasiri sana.

Baada ya
alishababu na alishabibi kutimuliwa chuoni hamnaga tena mgomo mana
wanakufatilia mmoja mmoja wanakuchomoa siku hizi hna kunji tena pale
kumepoa ndo mana hata hela za field hawajapewa
 
Wana harakati wengi walikuwa Mangwini lakini cha kushangaza COET ndio walikuwa wanajifanya wababe wa chuo kisa engeneering ndio kozi ngumu

Ha haaa....kunji lilikuwa linaanzishwa na ngwini halafu wanakuja kuomba uungwaji mkono COET, bila COET halinogi asee ila wahandisi wakijiunga basi hakuna kurudi nyuma! Siku hizi mwaka unapita bila purukushani pale, mambo yamebadilika sana!
 
Nilikuwa na a.k.a yangu moja ilikamata sana pale. Kina masenga, kitungwa, kasanga, nkwera, nzogolo na walimu watata kama shabani na mwambaja (naskia ame-pass away) waliitambua sana.

Hehehe, kumbe wewe ndo ulikuwa unachafua mabweni yetu asee
 
Mkuu sisi miaka yetu COET hawakuwa na impact. Kwanza tuligundua COET ni kasehemu kadogo halafu makuu mengi. So tulikuwa tunatafuta nguvu ya CASS, UDSL, CONAS na baadae wafata upepo (UDBS), baada ya hapo kitu imekuwa tayari, weka mbali na watoto.

Ha haaa....kunji
lilikuwa linaanzishwa na ngwini halafu wanakuja kuomba uungwaji mkono
COET, bila COET halinogi asee ila wahandisi wakijiunga basi hakuna
kurudi nyuma! Siku hizi mwaka unapita bila purukushani pale, mambo
yamebadilika sana!
 
Ujio wa Mwalimu Chacha Hatari pamoja na kupotea kwake sambamba na ujio mpya wa Al-Shaabab kumpigania hatari unaukumbuka?

Tnasolve for X, then tunatafuta Y, hahahahah

Yani ni shida wana
nidhamu ya woga lazima iwa cost ni haki yao lakini hawadai vyuo vingne
hawatakagi kugoma wanaogoma eti unakuta wanatuma message udsm gomeni
basi ili tuongezewe hela hawa taki kuji sacrifice na wataendelea
kuburuzwa hvi hvi hi semister ya mwisho walichelewa kuweka hela
watu.walishakuwa serious na kunji wamejiandaa jumatatu mbona usiku wa
jumapili walibandika majina ya kusaini sasa wawe waoga hivo hivo hafu
baada ya Ud kupewa vyuo vingne walisugua benchi mpaka waache
uoga
 
fomu za usajili zikawekwa geti maji, ili tusiguse maeneo ya chuo kabisa.

Alikuwa anaushawishi
mkubwa sana akisimama pale revolution square. Na sasa hivi ni mbunge
kupitia chama cha Chadema huko mbozi mbeya nadhani. Ila kipindi kile
wanaharakati walikuwa wametimia. Kina Salumu ambaye ni kiongozi mkubwa
tu sasa umoja wa vijana CCM hawakuiweza hiyo team iliyokuwa ikiundwa na
Kuna Mwachibya aliyekuwa rais wa Daruso. Akina Steven Owawa, Silinde na
wengineo..... Nakumbuka pMtati keshamaliza udsm lakini polisi
walimkamata wakisema yeye ndio aliyehamasisha Hilo kunji.
Chuo kilifungwa na tukatakiwa wote kujisajili upya. Sitasahau mabomu ya
machozi walipoanza kutuvumurishia tulipofika pale mlimani city, watu
wakarudi nyuma na kujipanga upya na madumu ya maji. Mkandala kajifungia
ofisini haha na kesho yake mida ya saa nne akatangaza wChuo
kimefungwa.
 
Yani ni shida wana nidhamu ya woga lazima iwa cost ni haki yao lakini hawadai vyuo vingne hawatakagi kugoma wanaogoma eti unakuta wanatuma message udsm gomeni basi ili tuongezewe hela hawa taki kuji sacrifice na wataendelea kuburuzwa hvi hvi hi semister ya mwisho walichelewa kuweka hela watu.walishakuwa serious na kunji wamejiandaa jumatatu mbona usiku wa jumapili walibandika majina ya kusaini sasa wawe waoga hivo hivo hafu baada ya Ud kupewa vyuo vingne walisugua benchi mpaka waache uoga

haaha nasikia wameoganize mgomo kimkoa ili wapewe hiyo ela ya field
 
Sayuni unaonekana hukuvuma lakini umo. Kuna dada mmoja alikuwa anaanzisha wimbo wa Taifa pale Rev Square, yule dada alikuwa jasiri sana.

si ndo ALISHABIB hiv unajua alikua halipi nauli kwenye shato hahaah yule dada
 
panch nasikia ilisababisha hadi msichana mmoja kujiua

Hapa sijaona rika langu. mimi nilikua pale VC alikua papaa Kuhanga. CADO papaa Mkude. CACO papaa msuya RIP uongozi wa serikali ya wanafunzi. Papaa Ozias Sam Kilewo. papaa Bazigiza. papaa Kakeneno. papaa Kakonko nadhani meneja tanroads Arusha. baadae papaa Matiko Matare enzi za ruksa. PM alikua pm kweli papaa Warioba. miaka ile mwanamke akivaa nusu uchi papaa mzee PUNCH anamuanika Manzese cafeteria iliyo karibu na bookshop. hivi abortion valley bado lipo ? academic bridge je ? hall one kwa ma hog bado ipo ? Zile sinema kule FoE A21 na vitafunio baada ya filamu vipo ?enzi zile wanawake marufuku kunywa chai ya saa kumi cafeteria ili wakaimprove culinary skills zao. enzi zile hakuna colleges ni faculty tu nazo no tano tu. FASS. FCM. FSc. FoE na FL.
 
Hapa sijaona rika langu. mimi nilikua pale VC alikua papaa Kuhanga. CADO papaa Mkude. CACO papaa msuya RIP uongozi wa serikali ya wanafunzi. Papaa Ozias Sam Kilewo. papaa Bazigiza. papaa Kakeneno. papaa Kakonko nadhani meneja tanroads Arusha. baadae papaa Matiko Matare enzi za ruksa. PM alikua pm kweli papaa Warioba. miaka ile mwanamke akivaa nusu uchi papaa mzee PUNCH anamuanika Manzese cafeteria iliyo karibu na bookshop. hivi abortion valley bado lipo ? academic bridge je ? hall one kwa ma hog bado ipo ? Zile sinema kule FoE A21 na vitafunio baada ya filamu vipo ?enzi zile wanawake marufuku kunywa chai ya saa kumi cafeteria ili wakaimprove culinary skills zao. enzi zile hakuna colleges ni faculty tu nazo no tano tu. FASS. FCM. FSc. FoE na FL.

mmh wewe ni mzee wa zamani looh
 
Heshima kwako mkuu,
kefteria manzese bado ipo, ile ya pembeni yake inaitwa posta. academic bridge kama kawa japo siku hizi nasikia kenge wamepungua sana.

kipya ni ile kariakoo na eneo la tbs. rev square imekufa vijana wameanzisha tbs, wanakaa hapo kuangalia kina dada wazuri. ni pale nyuma ya ATB.

Hapa sijaona rika
langu. mimi nilikua pale VC alikua papaa Kuhanga. CADO papaa Mkude. CACO
papaa msuya RIP uongozi wa serikali ya wanafunzi. Papaa Ozias Sam
Kilewo. papaa Bazigiza. papaa Kakeneno. papaa Kakonko nadhani meneja
tanroads Arusha. baadae papaa Matiko Matare enzi za ruksa. PM alikua pm
kweli papaa Warioba. miaka ile mwanamke akivaa nusu uchi papaa mzee
PUNCH anamuanika Manzese cafeteria iliyo karibu na bookshop. hivi
abortion valley bado lipo ? academic bridge je ? hall one kwa ma hog
bado ipo ? Zile sinema kule FoE A21 na vitafunio baada ya filamu vipo
?enzi zile wanawake marufuku kunywa chai ya saa kumi cafeteria ili
wakaimprove culinary skills zao. enzi zile hakuna colleges ni faculty tu
nazo no tano tu. FASS. FCM. FSc. FoE na FL.
 
Odong alikuwa anashindana kijana mmoja alikuwa anaitwa Pasiense Mlowe kama sijakosea,wote wakiwa wanafunzi wa kitivo cha sheria.Bwana Pasiense alinivutia sana na kauli yake "Tofautisha kati ya hamu na shauku".Ila Odong alikuwa kiboko,likitajwa jina Odooong,watu wote mnaitikia Odwaaa,hata kama upo chooni.hahahaaaaaa there is nothing like UDSM aisee
Jamaa fulani hall five juu kabisa walikuwa wakilitaja jina la Odooooong!!hall zingine zote hadi madarasani wanaitikia Odwaaaaaaar!!mpaka raha.
Hii ilikuwa baada ya jamaa kuenguliwa kwenye hatua za mwisho za kampeni karibia na siku ya uchaguzi kisa hakuwa raia wa tz.Michakato yote ya usahili alipita hadi kwenye ufunguzi alikuwepo lakini uongozi wa chuo walipoona kuwa jamaa ataukwaa urais na kuwaacha wapinzani wake kwa mbali basi wakaamua kufanya huo uhuni wa kulikata jina lake na kumuacha Mlowe ambaye kwa wakati huo alisadikika kuwa kibaraka wa uongozi wa chuo na serikali kwa ujumla. Upepo wa ushindi wa Odong' ulikuwa mkubwa sana kiasi kwamba angeshiriki uchaguzi ule basi angeshinda kwa zaidi ya asilimia 90.Hii ilidhihirishwa pale walipojitokeza watu wachache wa mwaka wa tatu sheria kumpigia kura classmate wao Mlowe.

Ila mi naukumbuka uchaguzi wa DARUSO 2006/2007 kati ya Mwita wa Engineering na jamaa mmoja wa B-COM aitwaye Makoye.
Uchaguzi ule ulitawaliwa na vitimbi na vurugu ajabu hali iliyosababisha baadhi ya watu kuumizwa vibaya,yaani unafikiri waliokuwa wanapigana na kuumizana hawakuwa wanafunzi wa chuo kimoja.
Upepo kwa mara ya kwanza ulikuwa upande wa MAKOYE lakini katikati ya game hali ilibadilika ghafla kwani Makoye si mzungumzaji mzuri tofauti na MWITA ambaye alikuwa kiboko wa kuongea na kushawishi.
Hadi Mwisho MWITA aliukwaa urais japo baadaye alikuja kuwa fisadi wa kufa mtu.

Baada ya Mwita alikuja Deo ambaye hakuwa na sauti kubwa kumshinda waziri mkuu wake Mtatiro.
Kwa wote hao Odong' angeruhusiwa kushiriki uchaguzi siku ya mwisho basi ndiye ambaye angekuwa mwanaharakati mkuu kuwazidi wote.
 
Back
Top Bottom