fredito13
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 213
- 146
Mkuu pole sana kwa hilo tukio mkuu, wewe ulikuwa leader au follower?
Papaa, just a distant follower!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pole sana kwa hilo tukio mkuu, wewe ulikuwa leader au follower?
Mkuu huyu Silinde tunasikia alikuwa mkali sana, hasi alipoikataa TAHLISO na kuanzisha UVIJUTA.
hawajapewa na wako kimya huku makazini wanatia huruma unawatoa nauli kishikaji hahahhh
NAWAAMBIA KAMA BABA NA MAMA WALIKUAMBIA UKIFIKA CHUONI USIDAI HAKI YAKO ITAKUKOST
Hawajui kwamba lazima wacache waumie ili kunufaisha the rest of the dents..... KILA MTU ANAOGOPA KUTAKE RISK NAWAAMBIA INGEKUA HIVYO HATA HIYO BUKU 7 NA 500 mgekua bado hamjapata alaaa
UNAKUMBUKAA KUNA KIPINDI WATU WALIKULA KWA KUPONI HHAHAHAAHAHAH sitasahau aisee
Mkuu naona ulipita nilipopita, mimi ndie niliyepaka rangi nyekundu bweni la Mapinduzi. hahahaha
Baada ya
alishababu na alishabibi kutimuliwa chuoni hamnaga tena mgomo mana
wanakufatilia mmoja mmoja wanakuchomoa siku hizi hna kunji tena pale
kumepoa ndo mana hata hela za field hawajapewa
Wana harakati wengi walikuwa Mangwini lakini cha kushangaza COET ndio walikuwa wanajifanya wababe wa chuo kisa engeneering ndio kozi ngumu
Hehehe, kumbe wewe ndo ulikuwa unachafua mabweni yetu asee
Ha haaa....kunji
lilikuwa linaanzishwa na ngwini halafu wanakuja kuomba uungwaji mkono
COET, bila COET halinogi asee ila wahandisi wakijiunga basi hakuna
kurudi nyuma! Siku hizi mwaka unapita bila purukushani pale, mambo
yamebadilika sana!
Yani ni shida wana
nidhamu ya woga lazima iwa cost ni haki yao lakini hawadai vyuo vingne
hawatakagi kugoma wanaogoma eti unakuta wanatuma message udsm gomeni
basi ili tuongezewe hela hawa taki kuji sacrifice na wataendelea
kuburuzwa hvi hvi hi semister ya mwisho walichelewa kuweka hela
watu.walishakuwa serious na kunji wamejiandaa jumatatu mbona usiku wa
jumapili walibandika majina ya kusaini sasa wawe waoga hivo hivo hafu
baada ya Ud kupewa vyuo vingne walisugua benchi mpaka waache
uoga
Alikuwa anaushawishi
mkubwa sana akisimama pale revolution square. Na sasa hivi ni mbunge
kupitia chama cha Chadema huko mbozi mbeya nadhani. Ila kipindi kile
wanaharakati walikuwa wametimia. Kina Salumu ambaye ni kiongozi mkubwa
tu sasa umoja wa vijana CCM hawakuiweza hiyo team iliyokuwa ikiundwa na
Kuna Mwachibya aliyekuwa rais wa Daruso. Akina Steven Owawa, Silinde na
wengineo..... Nakumbuka pMtati keshamaliza udsm lakini polisi
walimkamata wakisema yeye ndio aliyehamasisha Hilo kunji.
Chuo kilifungwa na tukatakiwa wote kujisajili upya. Sitasahau mabomu ya
machozi walipoanza kutuvumurishia tulipofika pale mlimani city, watu
wakarudi nyuma na kujipanga upya na madumu ya maji. Mkandala kajifungia
ofisini haha na kesho yake mida ya saa nne akatangaza wChuo
kimefungwa.
Mkuu habari za panchi tumegusiwa kidogo mkuu, naskia ilikuwa balaa sana enzi hiyo.
Yani ni shida wana nidhamu ya woga lazima iwa cost ni haki yao lakini hawadai vyuo vingne hawatakagi kugoma wanaogoma eti unakuta wanatuma message udsm gomeni basi ili tuongezewe hela hawa taki kuji sacrifice na wataendelea kuburuzwa hvi hvi hi semister ya mwisho walichelewa kuweka hela watu.walishakuwa serious na kunji wamejiandaa jumatatu mbona usiku wa jumapili walibandika majina ya kusaini sasa wawe waoga hivo hivo hafu baada ya Ud kupewa vyuo vingne walisugua benchi mpaka waache uoga
Sayuni unaonekana hukuvuma lakini umo. Kuna dada mmoja alikuwa anaanzisha wimbo wa Taifa pale Rev Square, yule dada alikuwa jasiri sana.
panch nasikia ilisababisha hadi msichana mmoja kujiua
Hapa sijaona rika langu. mimi nilikua pale VC alikua papaa Kuhanga. CADO papaa Mkude. CACO papaa msuya RIP uongozi wa serikali ya wanafunzi. Papaa Ozias Sam Kilewo. papaa Bazigiza. papaa Kakeneno. papaa Kakonko nadhani meneja tanroads Arusha. baadae papaa Matiko Matare enzi za ruksa. PM alikua pm kweli papaa Warioba. miaka ile mwanamke akivaa nusu uchi papaa mzee PUNCH anamuanika Manzese cafeteria iliyo karibu na bookshop. hivi abortion valley bado lipo ? academic bridge je ? hall one kwa ma hog bado ipo ? Zile sinema kule FoE A21 na vitafunio baada ya filamu vipo ?enzi zile wanawake marufuku kunywa chai ya saa kumi cafeteria ili wakaimprove culinary skills zao. enzi zile hakuna colleges ni faculty tu nazo no tano tu. FASS. FCM. FSc. FoE na FL.
mmh wewe ni mzee wa zamani looh
Hapa sijaona rika
langu. mimi nilikua pale VC alikua papaa Kuhanga. CADO papaa Mkude. CACO
papaa msuya RIP uongozi wa serikali ya wanafunzi. Papaa Ozias Sam
Kilewo. papaa Bazigiza. papaa Kakeneno. papaa Kakonko nadhani meneja
tanroads Arusha. baadae papaa Matiko Matare enzi za ruksa. PM alikua pm
kweli papaa Warioba. miaka ile mwanamke akivaa nusu uchi papaa mzee
PUNCH anamuanika Manzese cafeteria iliyo karibu na bookshop. hivi
abortion valley bado lipo ? academic bridge je ? hall one kwa ma hog
bado ipo ? Zile sinema kule FoE A21 na vitafunio baada ya filamu vipo
?enzi zile wanawake marufuku kunywa chai ya saa kumi cafeteria ili
wakaimprove culinary skills zao. enzi zile hakuna colleges ni faculty tu
nazo no tano tu. FASS. FCM. FSc. FoE na FL.
Dar es Salaam hakuna mzee. uzee mwisho Chalinze. hata mvi moja sina dadangu.
Jamaa fulani hall five juu kabisa walikuwa wakilitaja jina la Odooooong!!hall zingine zote hadi madarasani wanaitikia Odwaaaaaaar!!mpaka raha.Odong alikuwa anashindana kijana mmoja alikuwa anaitwa Pasiense Mlowe kama sijakosea,wote wakiwa wanafunzi wa kitivo cha sheria.Bwana Pasiense alinivutia sana na kauli yake "Tofautisha kati ya hamu na shauku".Ila Odong alikuwa kiboko,likitajwa jina Odooong,watu wote mnaitikia Odwaaa,hata kama upo chooni.hahahaaaaaa there is nothing like UDSM aisee