Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

Alikosa hata zile spea za kufananisha??
Cv joint ikishakubaliana meno ya nje na ndani na ukubwa kipenyo ukafanana unafunga bila tatizo....nimeshafanya hivi kwenye nissan..
Huyo hakujiongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
hahah THUBUTU mzee kama unataka usage bearing jaribu kufanya ivyo ktk magari ya NIssan...ILA tulipata moja ilikuwa inafanana meno ya nje na ndani issue ilikuwa shanga la nje lile tuliyopata shanga ilikuwa kubwa alafu Cv joint ya kwake shangaa zake zilikuwa ndogooo (hahahahahahaa) tukaforce kutoa shanga tuvishe mzee chamoto tulikionaaaaa
 
hahah THUBUTU mzee kama unataka usage bearing jaribu kufanya ivyo ktk magari ya NIssan...ILA tulipata moja ilikuwa inafanana meno ya nje na ndani issue ilikuwa shanga la nje lile tuliyopata shanga ilikuwa kubwa alafu Cv joint ya kwake shangaa zake zilikuwa ndogooo (hahahahahahaa) tukaforce kutoa shanga tuvishe mzee chamoto tulikionaaaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hili ni funzo...kwa yeyote anayetaka kumiliki gari lolote la nissan masharti na vigezo vyake kuzingatiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa gari yangu ni Nissan tu. Nikitoka Nissan ni gari za ulaya. Nimekuwa na Nissan Terrano 2, Nissan Note 2 na Xtrail. Pia naagiza Elgrand, dualis na Fuga Hybrid.

Ooohoo how I love Nissan! Riding is my passion...

Zipo stable barabarani, imara na spea ukifunga unasahau.

Tangu nihamie Nissan, no stress at all.
Wewe uko kama mimi
 
Gari linaundwa kwa mifumo inayotegemeana kama binadamu.
Kifaa fulani cha gari kikiharibika usipokibadilisha kwa wati, lazima kifaa kingine ambacho kipo kwenye mfumo huo kiharibike..
Ndiyo maana inashauriwa ukihisi sehemu fulani inagonga wahi kutatua kabla haijaambukiza sehemu nyingine..
Hii ipo kwa magari yote

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimefatilia thread zako nyingi kuhusu nissan note unanishawishi sana hapa nipo na mawazo vipi spareparts kwa dar haitokuwa tatizo?
 
Nimefatilia thread zako nyingi kuhusu nissan note unanishawishi sana hapa nipo na mawazo vipi spareparts kwa dar haitokuwa tatizo?

Mimi nimekuwa nazo mbili, moja niliuza nikanunua nyingine. Kwa kifupi ninaiamini sana kwa safari zangu.

IPO stable sana pamoja na udogo wake na inachanganya haraka sana. Huwezi kuamini kuwa inazipita gari nyingi sana kwa suala la mwendo.

Katika safari ina uwezo wa kutumia lita 1 kwa km 30 hasa ukiwa spidi kati ya 50 - 100 hapo.
 
Ahsante mkuu, ngoja nihangaikie hizo sensor
[/QUOTE]
Usipate taabu na sensor,nenda Ilala Ulizia Duka la Jack Umeme,anazo za kila aina. Mie ninaendesha Nissan Extrail, iliwahi kuzingua gear box sensor, ikawa nikiondoa gari, halibadili gear kwenda no 2,inakaa no moja tu pia inavuma kama vile iko kwenye mchanga. Mafundi kibao wakashindwa kuitengeneza. Siku moja natoka Kisarawe nateremka kilima cha Pugu kuelekea mwisho wa lami nikaona kibao barabarani kimeandikwa "Fundi gearbox Auto" na namba za simu,nikapaki,nikachukua namba nikawapigia jamaa, nikawapa ramani ya nyumbani,kesho yake wakaja vijana wawili. Baada ya kutest wakafungua kudude fulani wakaniambia nenda katafute hiki, Kumbe ni gearbox sensor,nikaingia Ilala,kuulizia nikaoneshwa kwa Jack Umeme, akaniuzia hicho kidude 60,000.00. Kilipofungwa mpaka leo sijawahi kupata shida tena.
 
Ahsante mkuu, ngoja nihangaikie hizo sensor
Usipate taabu na sensor,nenda Ilala Ulizia Duka la Jack Umeme,anazo za kila aina. Mie ninaendesha Nissan Extrail, iliwahi kuzingua gear box sensor, ikawa nikiondoa gari, halibadili gear kwenda no 2,inakaa no moja tu pia inavuma kama vile iko kwenye mchanga. Mafundi kibao wakashindwa kuitengeneza. Siku moja natoka Kisarawe nateremka kilima cha Pugu kuelekea mwisho wa lami nikaona kibao barabarani kimeandikwa "Fundi gearbox Auto" na namba za simu,nikapaki,nikachukua namba nikawapigia jamaa, nikawapa ramani ya nyumbani,kesho yake wakaja vijana wawili. Baada ya kutest wakafungua kudude fulani wakaniambia nenda katafute hiki, Kumbe ni gearbox sensor,nikaingia Ilala,kuulizia nikaoneshwa kwa Jack Umeme, akaniuzia hicho kidude 60,000.00. Kilipofungwa mpaka leo sijawahi kupata shida tena.[/QUOTE]Magari ya siku hizi hayataki nyundo...
Mafundi wajipange upya..
 
Back
Top Bottom