RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
And for how long u've been searching for that 'artist'?Those I don't match with, should march on. And the search will continue. It ain't that complicated, you know?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And for how long u've been searching for that 'artist'?Those I don't match with, should march on. And the search will continue. It ain't that complicated, you know?!
Leo naomba tuwekane wazi juu ya hili maanake naona vijana wengi siku hizi wana maoni tofauti juu ya ndoa na maana yake na namna ya kuidumusha
Wengi wana illusions za maisha ya ndoa walio wengi wanaamini tendo la ndoa linachukua asilimia kubwa zaidi na mengine ni kidogo sana
Ukweli ni kwamba ndoa ni zaidi ya kugegedana,japo tendo la ndoa ni kiungo kikubwa katika ndoa lakini hilo sio kila kitu,ndoa ina mengi na ndo maana tukiwa alter tunaapa katika shida na raha ukiingia kwenye ndoa kwanza kumbuka umejitoa kwa ajili ya yule mwenzi wako ambaye mnatoka katika malezi tofauti tofauti na pia mmeunganisha koo mbili ambazo zote macho yao bado yapo juu yenu kwani ninyi kufunga ndoa haimaanishi kwamba mtakuwa na ulimwengu wenu wenyewe,kwa sababu hizo basi katika ndoa haya yanaweza kutokea
kutoelewana kati yenu
kutoelewana kati ya mmoja wenu na ndugu
ugonjwa wa kufisha kati ya mmoja wa ndoa
malezi ya watoto
na mengine mengi ambayo ukiyaangalia yakijitokeza hata huwezi kufikiria tendo la ndoa
Hivyo basi my take kwa vijana tuache kuliweka tendo la ndoa kama kipaumbele ambacho tungependa wenzi wetu wa ndoa wawe nacho sijui awe mjuzi kiasi kuonja kabla ya ndo ndio imekuwa habari ya mjini,hilo ni la ziada tu mengi yanahusika
Nawasilisha karibuni wote kwa pamoja tulijadili hili na wenye uzoefu watupe uzoefu wao ili sote tjifunze na tunufaike.
ndoa ambayo wanandoa hawashiriki au hawaridhishani kunako 6x6 ni ndoa mfu - factsNi kweli tendo la ndoa sio kila kitu ndani ya ndoa, lakini ndoa ambayo wanandoa hawashiriki au hawaridhishani kunako 6x6 ni ndoa mfu. Just that!!!!!
mkuu afande kifimbo nimesema ndoa ni zaid ya sikusema tendo la ndo sio muhimu katika ndoa sijui hapo nimeelewekandoa ambayo wanandoa hawashiriki au hawaridhishani kunako 6x6 ni ndoa mfu - facts
uko sawa kabisa mkuu Eli79 tendo hilo ni muhimu sana lakini halipaswi kutufanya mpaka tuhalalishe au tubadilishe mipangilio ambayo Mungu ameiweka just for the so called sex no,ni muhimu sawa lakini Mungu anasemaje kuhusu shake well before use?
Upendo unazidi kuimarika kadri ndoa inavyokuwa. Mkifikia umri ambao uwezo wenu wa kufanya mambo umepungua, bond yenu ni kubwa mno na hakuna wa kuwatenganisha tena. "Ni maoni yangu tu"Labda niulize maanake sipo kwenye ndoa,biologically umri unavyoenda ufanisi wa miili yetu unapungua ikiwemo ufanyaji wa tendo la ndoa. Je na upendo unapungua?
and thats when you realize there is more to marriage than sex.Upendo unazidi kuimarika kadri ndoa inavyokuwa. Mkifikia umri ambao uwezo wenu wa kufanya mambo umepungua, bond yenu ni kubwa mno na hakuna wa kuwatenganisha tena. "Ni maoni yangu tu"
I will ask you this simple question Paulo Sergio De Souz which quantity of men your woman had ever been with her whole life until she meets you will be okay with you?
Sio kweli kwamba tendo la ndoa ndiyo linatengeneza ndoa, umeongea kinyume sana tendo la ndoa halitengenezi upendo, upendo ndiyo unatengeneza tendo la ndoa. ndoa inavipengele vingi ili ije kutokea cha kwanza ni upendo kati ya mwanamke na mwanaume, upendo huu umebeba mambo mengi yakiwemo kuheshimiana, kuvumiliana kuelewana na mengine mengi. Kumbuka tendo hilo linafanywa hata na machangudoa na wanafanya wakiwa hawapendani. Mkuu tendo la ndoa sio kiunganishi pekee cha wanandoa kuwa makiniKiongozi, Blue G tendo la ndoa ni jambo kuu, linapaswa kutiliwa mkazo na kufanyiwa kazi na wanandoa wote kwa pamoja. Upendo ndani ya ndoa hauwezi kutimilika bila kufurahishana kitandani, lazima mume na mke wote wawajibike ipasavyo kuhakikisha they please each other on bed, NI LAZIMA na sio hiari. Yote haya yanaenda sanjari na kuwajibika katika nyanja zingine ndani ya nyumba.
Trust me, usipofanya majukumu yako kitandani ipasavyo unaiharibu nyumba yako. Swali, je upo kwenye ndoa?
And for how long u've been searching for that 'artist'?
hapo mkuu tunaenda sawa kabisa ila na me am a bit curious kama you don't advocate for it mbona ulishake before banaahhh shetani alikupitia auu?I'm not for sex before marriage. I don't advocate it, though I did shake before I got into it.[emoji12] [emoji12] Hivyo, point yako hapo naiunga mkono 100%. Kujaribu na kuonja ovyo kunaharibu maana nzima ya ndoa na wala hakujengi!!!
..and how do you bond if you don't satisfy each other on bed? Mind you, am talking of young couples who need to bond through so much, sex inclusive.and thats when you realize there is more to marriage than sex.
and thats when you realize there is more to marriage than sex.
your answer is within that line...and how do you bond if you don't satisfy each other on bed? Mind you, am talking of young couples who need to bond through so much, sex inclusive.
Sio kweli kwamba tendo la ndoa ndiyo linatengeneza ndoa, umeongea kinyume sana tendo la ndoa halitengenezi upendo, upendo ndiyo unatengeneza tendo la ndoa. ndoa inavipengele vingi ili ije kutokea cha kwanza ni upendo kati ya mwanamke na mwanaume, upendo huu umebeba mambo mengi yakiwemo kuheshimiana, kuvumiliana kuelewana na mengine mengi. Kumbuka tendo hilo linafanywa hata na machangudoa na wanafanya wakiwa hawapendani. Mkuu tendo la ndoa sio kiunganishi pekee cha wanandoa kuwa makini
mkuu nimekupata vema kiongozimkuu afande kifimbo nimesema ndoa ni zaid ya sikusema tendo la ndo sio muhimu katika ndoa sijui hapo nimeeleweka
it could be possible to be in your own way if you wanted to and believe in that just assume if all men preferred waiting to marriage do you think you would have a woman with a long chain? its us ourselves who makes things worse by introducing useless thingsIf I had it my way, I'd wish for her to have been with none. But I know the drill, and it is what it is. I've been around the block long enough to be bothered by that now.
I dunno.........[emoji35] [emoji35] [emoji35]Those I don't match with, should march on. And the search will continue. It ain't that complicated, you know?!
point yangu hapa ni kwamba halipaswi kuwa jambo kuu kiasi kusahau kuna mengi yanahusika zaidi ya hilo,