Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

Ikiwa umefahamu uzi wangu kwamba ni sheria basi naam napangia watu matumizi.

Na ikiwa umeufahamu uzi wangu kama ni ushauri na maoni basi sipangii watu matumizi
ukijishauri mwenyewe inatosha
 
Mie najiuliza hivi kwa nini mashine ya ndani (mke) huwa inakinai haraka?
Yaani huwezi kupiga kila siku halafu hata show huwa sio kali sana lakini ukikamata kitoto cha nje unapiga show ya kibabe mashine hailali halafu ukute kasichana kasafi utapiga bao za kueleweka mpaka kesho unaamka mwepesi
 
ukijishauri mwenyewe inatosha
Kama unaamini kuwa jf imeletwa kwa ajili ya kila kitakachoandikwa humu kiwe sheria basi naam NIKIJISHAURI MWENYEWE INATOSHA.

Lakini kama unaamini JF ni sehemu ya kutoa maoni, ushauri na uhuru wa kusema basi hakuna haja ya wewe kusema "nikijishauri mwenyewe inatosha".
 
Mie najiuliza hivi kwa nini mashine ya ndani (mke) huwa inakinai haraka?
Yaani huwezi kupiga kila siku halafu hata show huwa sio kali sana lakini ukikamata kitoto cha nje unapiga show ya kibabe mashine hailali halafu ukute kasichana kasafi utapiga bao za kueleweka mpaka kesho unaamka mwepesi
Mgaramie mkeo kama unavyomgaramia mchepuko.

Jiandae kwa makaranga na manjugu na makorosho na masuou ya pweza kwa mkeo kama unavypjiandaa kwa mchepuko.

Zungushwa na mkeo siku kadhaa asikupe tendo kama unavyozungushwa na mchepuko.

Alafu baada ya hapo hakikisha unakutana na mkeo ukiwana hamu.

Ukiona hapo mambo hayaendi ujue ulichaguliwa mke😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Tendo la ndoa kwenye ndoa ni dharura tu sio jambo la kuendekeza.

Kama huna hamu hujabanwa achana na hilo tendo fanya mambo mengine ya maendeleo.

Mkeo anatakiwa awe fahari ndani kwako na sio kwamba iwe yupo kwa ajili ya tendo tu.

Ukiwa unakula tuuu kutimiza ada mwishowe chakula kinachosha na sio kinachosha kwa sababu sio kitamu bali kinakuchosha kwa sababu unakeuka utaratibu.

Kukitumia kitu ambacho haukihitaji huwezi kuona umuhimu wake kamwe.

Tumia pale unapokihitaji utaona umuhimu wake.
umeoa mkuu.......elewa kitu cha kwanza kinachowaunganisha nyie ni hilo tendo TAKATIFU LA NDOA.........so lazima liwe na kipaumbele mno.....kwa kuzingatia furaha na amani ta NDOANO yenu.......halikuchoshi kamwe kama mna staha za MAHABA......
 
Amesema 'si kila kitu'.....yaani ndoa ni zaidi ya tendo sio kwamba kuna ndoa bila tendo la ndoa.
Hoja zenu zimenigusa yaliyonikuta siku za nyuma kipindi nikiwa na x-wife wangu. Kwangu binafsi, ndoa ni tendo la ndoa mengine ni ya ziada. nikiwa napewa vizuri naridhishwa tunaweza sikilizana vizuri na kuelewa.
Siwezi kukupa attention yangu kama nina nyege zimegandiana eti kisa tu tendo la ndoa ni ziada.haha noo. Yule mwanamke tuliachana baada ya mimi kukosa hisia na mvuto wa kugegedana naye. alikuwa nu mtu wa kujituma ila mimi hisia kwake hamna, aliomba talaka nilijitahidi sana kumuomba anipe muda huenda kuna jambo kwenye mwili wangu halipo sawa na labda baadae litakuwa sawa. kumbuka hapo nilikuwa nikipiga mechi za ugenini magoli mengi tu kama waliyofungwa Simba juzi juzi na kaizer chiefs ila kwa mke hamna kabisa. yule mwanamke aliondoka, nilimpa talaka yake kwa maana tulikuwa hatugegedani kabisa, akauliza hii ni ndoa au mkutano wa biashara ?? So nikisoma comments zenu naona kabisa mnalichukulia masihala suala la kugegedana na kuridhishana.
 
mimi kwa maoni yangu kwa Mke wangu nahitaji zaidi ya TENDO la ndoa maana kama ni K naweza kupata popote na yeyote ila NDOA ni kwa niliyemuoa tu.

kwanza mi Mke wangu ukibana sina haja ya kugombana na wewe kwa sababu sio kwamba K zimeisha duniani…
 
Back
Top Bottom