Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,667
hahahahahahahaha you make me happy my brotherHapo sikuungi mkono mdogo wangu!
Halafu unanifanya niwaze;
Aidha
1. kuna mtu amekuomba game kabla ya ndoa...
Au
2. ...????!
wala hata usiwaze my kaka nothing is going on sema kuna mambo mambo tu huwa najiuliza kichwani na hizi thread za humu za mara kwa mara shake well before use na kuuziwa mbuzi kwenye gunia
ya pili ni ipi my kaka mbona hujaisema?