Ikiwa umefahamu uzi wangu kwamba ni sheria basi naam napangia watu matumizi.mkuu unataka kupangia watu matumizi ya viungo vyao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ikiwa umefahamu uzi wangu kwamba ni sheria basi naam napangia watu matumizi.
Na ikiwa umeufahamu uzi wangu kama ni ushauri na maoni basi sipangii watu matumizi
ukijishauri mwenyewe inatoshaIkiwa umefahamu uzi wangu kwamba ni sheria basi naam napangia watu matumizi.
Na ikiwa umeufahamu uzi wangu kama ni ushauri na maoni basi sipangii watu matumizi
Kama unaamini kuwa jf imeletwa kwa ajili ya kila kitakachoandikwa humu kiwe sheria basi naam NIKIJISHAURI MWENYEWE INATOSHA.ukijishauri mwenyewe inatosha
Mgaramie mkeo kama unavyomgaramia mchepuko.Mie najiuliza hivi kwa nini mashine ya ndani (mke) huwa inakinai haraka?
Yaani huwezi kupiga kila siku halafu hata show huwa sio kali sana lakini ukikamata kitoto cha nje unapiga show ya kibabe mashine hailali halafu ukute kasichana kasafi utapiga bao za kueleweka mpaka kesho unaamka mwepesi
umeoa mkuu.......elewa kitu cha kwanza kinachowaunganisha nyie ni hilo tendo TAKATIFU LA NDOA.........so lazima liwe na kipaumbele mno.....kwa kuzingatia furaha na amani ta NDOANO yenu.......halikuchoshi kamwe kama mna staha za MAHABA......Tendo la ndoa kwenye ndoa ni dharura tu sio jambo la kuendekeza.
Kama huna hamu hujabanwa achana na hilo tendo fanya mambo mengine ya maendeleo.
Mkeo anatakiwa awe fahari ndani kwako na sio kwamba iwe yupo kwa ajili ya tendo tu.
Ukiwa unakula tuuu kutimiza ada mwishowe chakula kinachosha na sio kinachosha kwa sababu sio kitamu bali kinakuchosha kwa sababu unakeuka utaratibu.
Kukitumia kitu ambacho haukihitaji huwezi kuona umuhimu wake kamwe.
Tumia pale unapokihitaji utaona umuhimu wake.
Hoja zenu zimenigusa yaliyonikuta siku za nyuma kipindi nikiwa na x-wife wangu. Kwangu binafsi, ndoa ni tendo la ndoa mengine ni ya ziada. nikiwa napewa vizuri naridhishwa tunaweza sikilizana vizuri na kuelewa.Amesema 'si kila kitu'.....yaani ndoa ni zaidi ya tendo sio kwamba kuna ndoa bila tendo la ndoa.