Kwa wanandoa, mnawezaje kuishi na mwenza usiye na hisia naye?

Kwa wanandoa, mnawezaje kuishi na mwenza usiye na hisia naye?

Mnawezaje kuishi na mwenza usiye na hisia naye?
Maisha yakoje au yanakuwaje?
Namaanisha ulioa tu au uliolewa tu pasipo sababu ya upendo.mnaishijeishije?

Wewe ni mwanamke au mwanaume? Kama wewe ni mwanaume na huna hisia, jifunze na jitahidi kuzitengeneza, kama mke wako ndo anakuambia Hana hisia na wewe, ulipaswa umpe talaka Jana, atakusumbua sana, mwache aende kwa watu ambao ana hisia nao.
 
Back
Top Bottom