Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Kwenye mahusianoUpendo upi tena?
Kwenye mahusianoUpendo upi tena?
Muache.....Mnawezaje kuishi na mwenza usiye na hisia naye?
Maisha yakoje au yanakuwaje?
Namaanisha ulioa tu au uliolewa tu pasipo sababu ya upendo.mnaishijeishije?
Ok, nimekuelewa mkuuKwenye mahusiano
Utamwoa bro?Muache.....
Tuachie.
Na kumpenda mno, nakula hadi mifupa....naomba nambaUtamwoa bro?
Subir uskie Namba unayoipogia haipatikani kwa sasaNa kumpenda mno, nakula hadi mifupa....naomba namba
Una hatari sana,kwangu Hana hisia kwako atazipataje broNa kumpenda mno, nakula hadi mifupa....naomba namba
Ni hatari sana mkuuNi mwendo wa kijeshi tu hakuna namna
Kumbe ye ndio hana hisia na wewe??Una hatari sana,kwangu Hana hisia kwako atazipataje bro
😅 Imeisha hiyo mkuuhiyo fisi.
😎Ni mwendo wa kijeshi tu hakuna namna
😅😅ety fisiKumbe ye ndio hana hisia na wewe??
1: Kuna yafuatayo
2: Hauili vizuri hiyo kitu
3: Ana stress (hana hela, madeni, marejesho, umri umeenda mambo hayaendi, nk)
4: Anacheat
Cha kufanya....
Mpe kahela akanunue kigauni kizuri, mtoe out mle mnywe, ongea nae kama ni stress piga piga story mwambie mambo yatakua poa arelax.....chukua room kamfanye vizuri kama mlivokua mnafanya enzi hizo.
Na hapo akijifanya hana hisia, piga chini hiyo fisi.
Mbona kama nawe unajifanya kumuona fisi 😂😂😅 Imeisha hiyo mkuu
Fisi atakumeza ayaa🤌🏻Mbona kama nawe unajifanya kumuona fisi 😂😂
umefikisha wangapi sa hiz Shogaangu, hii tuachie yako huwa nachekaaa!Muache.....
Tuachie.