Kwa wanandoa, mnawezaje kuishi na mwenza usiye na hisia naye?

Wewe ni mwanamke au mwanaume? Kama wewe ni mwanaume na huna hisia, jifunze na jitahidi kuzitengeneza, kama mke wako ndo anakuambia Hana hisia na wewe, ulipaswa umpe talaka Jana, atakusumbua sana, mwache aende kwa watu ambao ana hisia nao.
Ngoja niwahi kabla mambo hayajawa makubwa
 
Aisee usifanye masihara, Kama Hana hisia na wewe ana hisia na mwingine, sasa kamwe usikubali kumlisha mtu mwenye hisia na mtu mwingine, aende akalishwe huko Mbwa.

Hata kama Kuna Mali, pesa, we ondoka tu home, huko mbele kutakuja kuwa sawa kabisa bila wasiwasi wasi wasi, hela zitapatikana tu huko, mwanamke msumbufu ni hasara kubwa.

Achana naye haraka kabisa, inaweza kuwa ni ngumu, ila gharama utakayolipa Leo ni ndogo kuliko utakayolipa baadae, Mimi nilikaa kwenye ndoa kwa ujinga huo, nikaja acha mke Nina miaka 50, ondoka, akakae na wenye hisia naye.
 
Ni sawa uende Chimbo ukakuta kuna Ma..... watatu sampuli tofauti katika hao watatu yule ambae unasema huyu ndio ananifaa yeye anakuona wewe haumfahi ila yule ambae unaona hakufahi yaan hauna hisia nae akivua hata huwezi kudindisha ndio anaona wewe unamfaa yaan hisia zake zote zipo kwako tena anakuwahi kabisa twende nikakupe mambo wakati huo wewe jicho lote kwa yule uliyemuelewa unamsolola mamilo nimekuelewa twende tukasuuze nafsi anakwambia hana hisia na wewe nenda na huyo aliekuwahi mkasuuze nafsi zenu
 
Inasikitisha sana mkuu
 
Aisee usifanye masihara, Kama Hana hisia na wewe ana hisia na mwingine, sasa kamwe usikubali kumlisha mtu mwenye hisia na mtu mwingine, aende akalishwe huko Mbwa.

Hata kama Kuna Mali, pesa, we ondoka tu home, huko mbele kutakuja kuwa sawa kabisa bila wasiwasi wasi wasi, hela zitapatikana tu huko, mwanamke msumbufu ni hasara kubwa.

Achana naye haraka kabisa, inaweza kuwa ni ngumu, ila gharama utakayolipa Leo ni ndogo kuliko utakayolipa baadae, Mimi nilikaa kwenye ndoa kwa ujinga huo, nikaja acha mke Nina miaka 50, ondoka, akakae na wenye hisia naye.
Asante sana,nitafuata ushauri
 
Ni huzuni mkuu,bado sijamwoa
yaani bado hujamuoa lakini hauna hisia nae ndio unauliza humu jinsi gani uishi na mtu usie na hisia nae za upendo..bila shaka huyo mwanamke ana mali na pesa ila huwezi kuzifaidi bila ndoa nae.! maana mtu usiye na hisia nae za upendo wala mzuka nae huwezi hata kufikiria kumuoa ila ww uko tayari kujilipua kumuoa basi lazima ana kitu maalum anacho ambacho unakitamani sana au unataka utoke kupitia yeye hadi utake kujitoa mhanga.!
 
Hana hisia nami
 
Back
Top Bottom