- Thread starter
- #41
Upo sahihi mkuuSi kwamba alimuoa/kuolewa bila kuwa na hisia nae. Huwa katika kuishi maudhi, kauli, magumu, mepesi, yaani hisia zinaanza kupotea kidogo kidogo.
Upo sahihi mkuuSi kwamba alimuoa/kuolewa bila kuwa na hisia nae. Huwa katika kuishi maudhi, kauli, magumu, mepesi, yaani hisia zinaanza kupotea kidogo kidogo.
Me na Ke Hana hisia namiWewe ni me au ke? Tuanzie hapo kwanza
Sahihi kabisa....majibu yao nayapa kipaumbeleWanawake ndiyo Wana ujuzi katika hili.....! Endelea kuwasubiri waje.
Sawa mkuu,ila nahisi kukubaliana na hali..ngoja nimwache aendeUvumilivu ni muhimu katika Ndoa .
Sawa mkuu,ila nahisi kukubaliana na hali..ngoja nimwache aende
MeWewe ni ME au KE ?.
And it was sound weird watu waliishi vizuri nashangaa hawa vijanaIvo ivo tu vitachanganyia huko mbele ya safari!
Enzi za wazee wetu mke au mume analetewa na labda hata hawajawahi onana!
😅 Hii imekaa mkao sana mkuuIvo ivo tu vitachanganyia huko mbele ya safari!
Enzi za wazee wetu mke au mume analetewa na labda hata hawajawahi onana!
Sasa ME anakuaje na mambo ya hisia Kama Mwanamke .
Wewe umevuka mkuu?And it was sound weird watu waliishi vizuri nashangaa hawa vijana
Mwanamke hana hisia nami ila nampenda mkuuSasa ME anakuaje na mambo ya hisia Kama Mwanamke .
Be smart I think something is wrong in ur mind
Mkuu usioe kwa ajili ya huruma .Ni huzuni mkuu,bado sijamwoa
Hamna hapo ni level of maturity Mimi huwa najiweka Kama MTU mwenye 70s I'm try to think differently.Wewe umevuka mkuu?
Kama yeye anaona anahitaji kuondoka mruhusu aondoke tu kuna wanawake wengi they need that chance mwambie aondoke na nauli mpatie .Mwanamke hana hisia nami ila nampenda mkuu
Mabadiliko ya maisha na utandawazi!And it was sound weird watu waliishi vizuri nashangaa hawa vijana
Upendo si kitu cha kudumu mileleMi nadhani ndiyo upendo wenyewe
😁😁😁Mabadiliko ya maisha na utandawazi!
Hasa hii mitandao ya kijamii
inaweza kukuletea mademu aina mbali mbali kwa ubora wa muonekano
mpk unakuta hisia za wife nyumbani zinaanza potea potea tu
kwa mazingaumbwe ya shepu na sura za mitandaoni😂😂
Sawa mkuuUpendo si kitu cha kudumu milele