The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Hii inaitwa kutokujitambua thus watu wakawekewa dini ili angalau wajitambue kujitofautisha na wanyama,Mabadiliko ya maisha na utandawazi!
Hasa hii mitandao ya kijamii
inaweza kukuletea mademu aina mbali mbali kwa ubora wa muonekano
mpk unakuta hisia za wife nyumbani zinaanza potea potea tu
kwa mazingaumbwe ya shepu na sura za mitandaoni😂😂
Na we unaoaje au unaolewaje na mtu usie na hisia nae? kama umekubali kuoa au kuolewa na mtu usie na hisia nae but kwa sababu yako yoyote ile basi pambana na hali yako uvumilie tu hakuna namna.Mnawezaje kuishi na mwenza usiye na hisia naye?
Maisha yakoje au yanakuwaje?
Namaanisha ulioa tu au uliolewa tu pasipo sababu ya upendo.mnaishijeishije?
Ni sahihi mkuuNa we unaoaje au unaolewaje na mtu usie na hisia nae? kama umekubali kuoa au kuolewa na mtu usie na hisia nae but kwa sababu yako yoyote ile basi pambana na hali yako uvumilie tu hakuna namna.
Ashasema hana hisia nae hivyo hampendi. Mara nyingi watu wa hivi huwa wapo na mwanamke kwasababu ya mbunye au huyi manzi ana msaidia mwana.Unampenda? au umbo ndio lilikutia katika vishawishi
Yeye hana hisia nami mkuuAshasema hana hisia nae hivyo hampendi. Mara nyingi watu wa hivi huwa wapo na mwanamke kwasababu ya mbunye au huyi manzi ana msaidia mwana.
Basi kuna jambo anafaidika nalo kwako likiondoka hilo hutamuona...so mzee akili kumkichwa.Yeye hana hisia nami mkuu
Haziwezi potea moja kwa moja huwa zinarudi kama umempenda, ndio maana kuna Watu kama walipenda na sana na wakaachana wakikutana zile hisia huwa zinarudi kwa kasi.Si kwamba alimuoa/kuolewa bila kuwa na hisia nae. Huwa katika kuishi maudhi, kauli, magumu, mepesi, yaani hisia zinaanza kupotea kidogo kidogo.
Amwambie tu kwamba sina hisia na weweAshasema hana hisia nae hivyo hampendi. Mara nyingi watu wa hivi huwa wapo na mwanamke kwasababu ya mbunye au huyi manzi ana msaidia mwana.
Sometime hua ngumu sana ,lakini muda utafika muhusika ataelewa na kujitoa. Watu wengi wapo kwenye mahusiano ya namna hii na ndo wanaoteseka kwa kiasi kikubwa.Amwambie tu kwamba sina hisia na wewe
kupiga mwanamke huna hisia naye mbona haileti vibeSometime hua ngumu sana ,lakini muda utafika muhusika ataelewa na kujitoa. Watu wengi wapo kwenye mahusiano ya namna hii na ndo wanaoteseka kwa kiasi kikubwa.
sasa kwanini unataka kujipa shida?Ni huzuni mkuu,bado sijamwoa
Asante sana mkuuUsithubutu!
Hasa kama wewe ni mwanaume!
Upendo upi tena?Hisia haidumu
Mnaweza mkawa mnapendana na muda unavyoenda hisia zinaisha
Cha msingi Dumisha upendo
Kwisha 📝✍️