masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Unafanyaje kumaliza haja zako na isiwe dhambi kama upo nae mbali kutokana na changamoto mbalimbali za maisha
Nimesema kwa wanandoa sio vinginevyo
Nimesema kwa wanandoa sio vinginevyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafuta mchepuko wa mkoa mgeni uliopo.Unafanyaje kumaliza haja zako na isiwe dhambi kama upo nae mbali kutokana na changamoto mbalimbali za maisha
Nimesema kwa wanandoa sio vinginevyo
Mchepulo si dhambi/usailitiMchepuko
Lkn umeme nje nje
Nimesema kitu ambacho si dhanbiUnatafuta mchepuko wa mkoa mgeni uliopo.
Hamuwezi kukutanaKwani mko mbali sana? Kama inawezekana mkutane tu. Hamna linaloshindikana
Jibu content iliyoandikwa hapo mchumba🤣🤣unatafuta sababu ya kujisugua clit.oris?just do it🤣🤣au chemsha maji yachemke Sana,then kajikandeeh
Inafikia hatua huna namnaUnavumilia tu,hakuna namna.