Kwa wanandoa: Unamalizaje haja zako Ukiwa mbali na mwenza wako?

Kwa wanandoa: Unamalizaje haja zako Ukiwa mbali na mwenza wako?

Unafanyaje kumaliza haja zako na isiwe dhambi kama upo nae mbali kutokana na changamoto mbalimbali za maisha
Nimesema kwa wanandoa sio vinginevyo
Kama yupo ndani ya hiyo nchi mnapanga ratiba kukutana, kama mmoja yupo dar mwengine yupo singida hivi basi mnakutana dom week-end mnafanya yenu hata mara 2 kwa mwezi si mbaya
 
Back
Top Bottom