Kwa wanandoa: Unamalizaje haja zako Ukiwa mbali na mwenza wako?

Kwa wanandoa: Unamalizaje haja zako Ukiwa mbali na mwenza wako?

Unafanyaje kumaliza haja zako na isiwe dhambi kama upo nae mbali kutokana na changamoto mbalimbali za maisha
Nimesema kwa wanandoa sio vinginevyo
Unatakiwa kujikatalia kwa kutotenda dhambi. unapopata hamu unavyokuwa mbali hayo ni majaribu. Unapaswa kuyashinda hayo majaribu kwa kujiweka busy na mambo mengine kama kusoma vitabu, kucheki movie au kukutana na washkaji kupiga story mpaka hapo utakapokutana na mwenzi wako. Ndoa ni mkataba, na hizi ndizo consequences zake.
 
Unafanyaje kumaliza haja zako na isiwe dhambi kama upo nae mbali kutokana na changamoto mbalimbali za maisha
Nimesema kwa wanandoa sio vinginevyo
I do long distance marriage easier involves a lot of communication and patience. To ensure regular and meaningful conversations, set a time every day to talk about my day, feelings, kids or plans. I use technology to share activities, daily jobs and watching movie together or playing an online game.
 
Back
Top Bottom