Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Afadhali umeghairi navochukia kuwa title 🤸🤸🤸🤸Nilikuwa nafikiria kukuandikia uzi maalumu ila kwa hili jibu nimeghairi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali umeghairi navochukia kuwa title 🤸🤸🤸🤸Nilikuwa nafikiria kukuandikia uzi maalumu ila kwa hili jibu nimeghairi.
Basi ngoja nifikirie tena.Afadhali umeghairi navochukia kuwa title 🤸🤸🤸🤸
😂😂😂😂😂 au utalitafutia power bankPenye nia pana njia....ntachajia hata hospital, bank 🤣🤣🤣 bora simu izime sio vibra
Munyu the chumviPenye nia pana njia....ntachajia hata hospital, bank [emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora simu izime sio vibra
Try it at your own risk!Mchepulo si dhambi/usailiti
Kweli aisee magereza wanaishiTunavumilia tu,mfano mimi mke alikuwa kanda ya ziwa na nilikuwa kusini lakini sikuwahi kuchepuka,kwani magerezani wanaishije?
Sure thingZinaa huleta umaskini.
Ukivumilia unakuwa Tajiri.
Prove me wrong.
Mpaka ifike hiyo hatua moja atakua kashaenda kwa mwenzake.Nimekumbuka niliwahi Fanya kazi mkoa flani miaka miwili.Tulikua tunakutana na mwenzangu mara Tatu kwa mwaka.Kama ye alikua anachepuka atajua mwenyewe mi sikuwai gundua kipindi chote hicho.Inafikia hatua huna namna
artwork nimeipenda 😍
Ndio logo ya chama hii😆😃artwork nimeipenda 😍
safi sanaNdio logo ya chama hii😆😃
Ukizingatia haya yaliyoandikwa na Ndugu Yesu anakuja utajikuta huwezi kamwe kuchangamana kimwili na mtu asiye Mke au Mume wako. KAMWE!Miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu hatutakiwi kuinajisi (kuichafua), ushauri wangu kwenu ni kuvumilia hadi utakaporudi kwa mke au mume wako. Mungu ameweka hii kama ni hiari, una uhuru wa kuabstain au kuzini, hawezi kuja kukushika au kukufunga kufuli usizini, ila amekupa maelekezo kwamba unatakiwa usizini, ukizini kuna madhara kimwili na kiroho. Kiroho ni kwamba utakosana na Mungu, utapoteza utukufu wa Mungu na mwisho wa siku kama hautaitubia dhambi yako utaend amotoni. kimwili ni kwamba, mshahara wa dhambi ni mauti, mauti ya kimwili kabisaa, utapata magonjwa na utakufa, jilinde tafadhali.
Maishani mwako kati ya vitu unaweza kuwa navyo vyenye thamani zaidi ya pesa na madini yeyote yele, ni UWEPO WA MUNGU/UTUKUFU WA MUNGU. ukiwa na utukufu wa Mungu hakika yake una vyote, kwasababu yeye ndiye muumba wa vyote, ukipoteza utukufu wa Mungu, umepoteza vyote na mlango wako upo wazi shetani anaweza kukuingia na kukufanya lolote, anaweza kukuletea gonjwa lolote, anaweza kukuletea matatizo yeyote yale, na anafurahia unavyoteseka. ila ukiwa na utukufu wa Mungu shetani hawezi kukufanya chochote.
uchaguzi ni wenu, tafuta kuishi katika utukufu wa Mungu/uwepo wa Mungu kwasababu ndio pona yako. ukichagua kunajisi mwili wako na kutenda dhambi utakapoanza kula matunda yake usilalamike. Mwanamke kuruhusu mwanaume asiye mumeo kuingiliana, unakuwa unanajisi mwili wako, mwili wako hata kama utaona umebaki vilevile lakini kiroho umenajisika, hivyo hivyo na kwako wewe mwanaume, ile kwenda kumuingilia mwanamke asiye mkeo unajinajisi. yaani mnaingiliana, uchafu ule wa kwako unaenda kwake na wa kwake unakuja kwako, kama ni laana, kama ni mikosi, kama ni magonjwa, kama ni mapepo n.k, unashea naye, na shetani mnakuwa mmempa nafasi kuwaingia kwasababu mmekataa njia za Bwana.
Kumbukumbu 30:19, Nazishuhudia mbinguna nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima ili uwe hai, wewe na uzao wako, kumpenda Bwana Mungu wako, kuitii sauti yake, na kushikamana naye, kwani hiyo ndio uzima wako, na wingi wa siku zako.