Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Jamani ww sio yule dada angu kipe?? Ana jina km lako siku hizi simuoni humu 😔Jikandee tu,🤣🤣🤣Hakuna anayekuona
Btw sisagani,so usiniite mchumba,mie nala tango🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani ww sio yule dada angu kipe?? Ana jina km lako siku hizi simuoni humu 😔Jikandee tu,🤣🤣🤣Hakuna anayekuona
Btw sisagani,so usiniite mchumba,mie nala tango🙏
Wewe nenda nchi utakayo ili ukaendelee huko hukoMnawaza Mapenz tu,ndo maana nchi haiendelei
Ndio wanasemaga chungu hakikai kwenye figa moja 🤭Kidumu mpango mzima.
😅😅😅 Mchepukondo kinini hicho mideko? nitoe ushamba
Vinasaidia Sana 🏃🏃🏃🏃🏃Ndio wanasemaga chungu hakikai kwenye figa moja 🤭
We na ukoo wako mmemaliza kuendelea??Mnawaza Mapenz tu,ndo maana nchi haiendelei
Mwenyewe muoga kama kunguruKidumu mpango mzima.
🤣🤣Ndo MimiJamani ww sio yule dada angu kipe?? Ana jina km lako siku hizi simuoni humu 😔
🤐🤐🤐Mwenyewe muoga kama kunguru
Acha tujifunze 📝 ✍️Wa sio vinginevyo njoeni huku nyuma mnywe chai kwanza. Sebuleni achia wanandoa wana kikao chao 🤣
Waoooh!! 😘😘😘🤣🤣Ndo Mimi
Akaunti ya mwanzo mwanangu alinilog out na sikuwa nakumbuka password so nikacreate nyingine
Chupa mpya Ila mvinyo ni uleule
masai dada hataki tuchukue desaAcha tujifunze 📝 ✍️
Nyau wewe😁Nasoma comments
Unafanyaje kumaliza haja zako na isiwe dhambi kama upo nae mbali kutokana na changamoto mbalimbali za maisha
Nimesema kwa wanandoa sio vinginevyo
😂😁😁😁Ni Mimi kijana wa fally ipupa hapa 😂😁😁Halafu umenisumbua kukujua mfyuuuu 😂😂😂😂
Kujiendekeza tu kwani siku ukifungwa gerezani utiishije.Unafanyaje kumaliza haja zako na isiwe dhambi kama upo nae mbali kutokana na changamoto mbalimbali za maisha
Nimesema kwa wanandoa sio vinginevyo
Mtumishi unanitukana bila sababu. LioneNyau wewe😁
Rudisha jina lako la mwanzo bana, hili wala halijakupendeza 🤣🤣🤣😂😁😁😁Ni Mimi kijana wa fally ipupa hapa 😂😁😁
🤣🤣Ila imenisaidia kiasi fulanWaoooh!! 😘😘😘
Unajua nilikuwa nakuangaza sikuoni kwenye mada zetu za kukera watu 😀😀😀