Kwa wanandoa: Unamalizaje haja zako Ukiwa mbali na mwenza wako?

Mambo sijui ya kuchuja sio issue. Raha ya misosi mboga ziwe nyingi. Leo majani, kesho nyama, keshokutwa dagaa, mtondogoo samakiii....weweeeel
 
Inafikia hatua huna namna
Mpaka ifike hiyo hatua moja atakua kashaenda kwa mwenzake.Nimekumbuka niliwahi Fanya kazi mkoa flani miaka miwili.Tulikua tunakutana na mwenzangu mara Tatu kwa mwaka.Kama ye alikua anachepuka atajua mwenyewe mi sikuwai gundua kipindi chote hicho.
 
Ukizingatia haya yaliyoandikwa na Ndugu Yesu anakuja utajikuta huwezi kamwe kuchangamana kimwili na mtu asiye Mke au Mume wako. KAMWE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…