Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Wasioamini uwepo wa Mungu sio wajinga, mjinga ni yule ambae anaamini kwa kitu ambacho hakionekani. Wasioamini ndio wanasayansi wakubwa hapa duniani, hawana mda wa kupoteza katika kusali. Angalia dunia ya tatu makanisa na misikiti inajengwa kwa wingi, walioendelea wanajenga viwanda kwa wingi na kuendeleza teknologia. Waafrika wanaendeleza elimu ya dini.
Kwahiyo kitu kama hakionekani upaswi kukiamini, una pumzi una roho na unaviamini na nasfi unaamini kama unayo ushawai kuona hivyo vitu? lakini unaamini unavyo wewe uko timamu kweli, au unasema hivyo uliufanye vitu vyako pendwa bila kufata utaratibu
 
Kuna swali nilikuwa napenda sana kuuliza Atheist.Hivi kama ukifa it's okay tu historia yako ikasomwa watu wakakufukia na kila mtu akaishia zake kwake?Na je watu wakaribu yako wanajua kuwa wewe ni atheist?I mean wazazi wako au ni huku tu jamii forum ukija unakuwa atheist?
 
Unamaanisha nini kurusha taulo?
Mimi sijui na fact za uwepo wa mungu zipo kede wa kede kuanzia maisha yetu kufa na mpaka mazingira yetu tunayoishi ila kinacho sumbua wasio amini mungu ni kiburi na uzima walio nao hakika hofu yao ni kubwa kuzidi hata tunaomini juu ya mungu
 
Umeanza Kwa kusema wasioamini , afu unafosi waamini au hujui mana ya kuamini?šŸ˜‚šŸ™Œ Imani Ina pande mbili , kuamini na kutokuamini , ukishasema Imani means vitu ambavyo havijadhibitishwa havina uhakika
 
Mimi sijui na fact za uwepo wa mungu zipo kede wa kede kuanzia maisha yetu kufa na mpaka mazingira yetu tunayoishi ila kinacho sumbua wasio amini mungu ni kiburi na uzima walio nao hakika hofu yao ni kubwa kuzidi hata tunaomini juu ya mungu
Uzima walio nao??šŸ¤” Kwani Kuna kiumbe kisochoumwa au kufa
 
Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida wameshindwa kuamini katika imani zao kwa uthabiti maybe wamechunguza kuwa katika imani zao ambazo wamekuwa na kulelewa umo aziko sawa sawa na azijawapa majibu yakutosha kiasi cha wao kuamini

Kuna wengine majeuri tu na kwakweli katika hii dunia watu hao awawezi kukosekana wanajua na kuona lakini nyoyo zao zimekufa na wauwaji ni wenyewe na matendo yao.

Na rudi katika hii hoja ya kusema kila kitu kipo sababu ni nature, huyu huyu anaesema hivi anaamini kwamba simu anatengeneza mzungu internet mzungu,

ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
Sijaona Jibu wala Hoja Uliyoweka Mezani zaidi ya Maneno ya Masimango na Kashfa
 
Sasa mimi na nani upeo wake mdogo ndomaana nasema ukweli msio amini mungu amna akili timamu eti simu unaamini kwa kuwa unaiyona kwani mbingu uiyoni bahari uzioni eboo!
Hatuongelei "uwepo" wa simu. Bali tunaongelea "mtengenezaji" wa hiyo simu na ukilinganisha simu ni man-made.

Bahari ndio inaonekana, je unajuaje kama ilitengenezwa? Uwepo wa kitu natural kama bahari hauthibitishi uwepo wa "mtengenezaji"
 
Nafunga mjadala Kwa kusema mtoa mada mlete uyo kiumbe unaemuongelea ili wasiomwamini yupo wamwone Kwa macho Yao waamini la sivyo hawatakuelewa , Angekuwepo uyo kiumbe hata huu mjadala usingekuwepo

Nafunga mjadala Kwa kusema mtoa mada mlete uyo kiumbe unaemuongelea ili wasiomwamini yupo wamwone Kwa macho Yao waamini la sivyo hawatakuelewa , Angekuwepo uyo kiumbe hata huu mjadala usingekuwa

Kumbe Bahari Ni Mungu???
Kwahyo Wanaposema Mungu bahari wako sawa??
Wewe si daktari wewe, mtu akiumwa ugojwa wowote si lazima utafuta visababishi, na ndivyo ilivyo uwepo wa mambo kadha si alinacha na matokeo ya utendaji flani
 
Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida wameshindwa kuamini katika imani zao kwa uthabiti maybe wamechunguza kuwa katika imani zao ambazo wamekuwa na kulelewa umo aziko sawa sawa na azijawapa majibu yakutosha kiasi cha wao kuamini

Kuna wengine majeuri tu na kwakweli katika hii dunia watu hao awawezi kukosekana wanajua na kuona lakini nyoyo zao zimekufa na wauwaji ni wenyewe na matendo yao.

Na rudi katika hii hoja ya kusema kila kitu kipo sababu ni nature, huyu huyu anaesema hivi anaamini kwamba simu anatengeneza mzungu internet mzungu,

ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
Sasa umetuita hapa kufanya nini? Nikajua umeleta ushahidi wa uwepo wake(Mungu) matokeo yake umeleta yaleyale ya wafia dini.
 
Hatuongelei "uwepo" wa simu. Bali tunaongelea "mtengenezaji" wa hiyo simu na ukilinganisha simu ni man-made.

Bahari ndio inaonekana, je unajuaje kama ilitengenezwa? Uwepo wa kitu natural kama bahari hauthibitishi uwepo wa "mtengenezaji"
Bahari ni kitu natural, mbona haikuwekwa morogoro? huu ni utaratibu wa utendaji si alinacha
 
Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida wameshindwa kuamini katika imani zao kwa uthabiti maybe wamechunguza kuwa katika imani zao ambazo wamekuwa na kulelewa umo aziko sawa sawa na azijawapa majibu yakutosha kiasi cha wao kuamini

Kuna wengine majeuri tu na kwakweli katika hii dunia watu hao awawezi kukosekana wanajua na kuona lakini nyoyo zao zimekufa na wauwaji ni wenyewe na matendo yao.

Na rudi katika hii hoja ya kusema kila kitu kipo sababu ni nature, huyu huyu anaesema hivi anaamini kwamba simu anatengeneza mzungu internet mzungu,

ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
Thibitisha Mungu yupo.
 
Back
Top Bottom