Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Basi ni wafu wanao tembeaNi zaidi ya wagonjwa wa akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ni wafu wanao tembeaNi zaidi ya wagonjwa wa akili.
Athibitishe tu kwamba Mungu yupo.Kiranga kujaaa
Uwepo wa Bahari au Baadhi ya Maziwa mengine hayakuumbwa kama unavyohisi Mkuu..Wewe si daktari wewe, mtu akiumwa ugojwa wowote si lazima utafuta visababishi, na ndivyo ilivyo uwepo wa mambo kadha si alinacha na matokeo ya utendaji flani
Me pia ni mmoja waoKwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida wameshindwa kuamini katika imani zao kwa uthabiti maybe wamechunguza kuwa katika imani zao ambazo wamekuwa na kulelewa umo aziko sawa sawa na azijawapa majibu yakutosha kiasi cha wao kuamini
Kuna wengine majeuri tu na kwakweli katika hii dunia watu hao awawezi kukosekana wanajua na kuona lakini nyoyo zao zimekufa na wauwaji ni wenyewe na matendo yao.
Na rudi katika hii hoja ya kusema kila kitu kipo sababu ni nature, huyu huyu anaesema hivi anaamini kwamba simu anatengeneza mzungu internet mzungu,
ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
Ukishakufa hayo mambo ya kusomewa au kutosomewa ni sherehe ya waliobaki, aliyekufa hata hajui nini kinaendelea by all scientific evidence.Kuna swali nilikuwa napenda sana kuuliza Atheist.Hivi kama ukifa it's okay tu historia yako ikasomwa watu wakakufukia na kila mtu akaishia zake kwake?Na je watu wakaribu yako wanajua kuwa wewe ni atheist?I mean wazazi wako au ni huku tu jamii forum ukija unakuwa atheist?
Haifai hata kupoteza mda kujadiliana nao.Basi ni wafu wanao tembea
Mimi mwanzo nilikuwa nabishana nao, nikagundua ni ujinga kubishana wa wakufunzi wa kozi ya ujinga.Haifai hata kupoteza mda kujadiliana nao.
Unahisi ni kitu gani kikitokea kwenye maisha yako utaamini Mungu yupo?Ukishakufa hayo mambo ya kusomewa au kutosomewa ni sherehe ya waliobaki, aliyekufa hata hajui nini kinaendelea by all scientific evidence.
Mimi kwetu wanajua siamini uwapo wa Mungu. Huwa nawanunulia vitabu vya kuonesha Mungu hayupo nawapa zawadi.
Acha longolongo, thibitisha Mungu yupo.Haifai hata kupoteza mda kujadiliana nao.
Sotaki kuamini, nataka kujua ukweli.Unahisi ni kitu gani kikitokea kwenye maisha yako utaamini Mungu yupo?
Kuna facts ndogo sana z uwepo wa mungu... kwan kutikwa ndo nnKuna swali nilikuwa napenda sana kuuliza Atheist.Hivi kama ukifa it's okay tu historia yako ikasomwa watu wakakufukia na kila mtu akaishia zake kwake?Na je watu wakaribu yako wanajua kuwa wewe ni atheist?I mean wazazi wako au ni huku tu jamii forum ukija unakuwa atheist?
Acha longolongo, thibitisha Mungu yupo.Mimi mwanzo nilikuwa nabishana nao, nikagundua ni ujinga kubishana wa wakufunzi wa kozi ya ujinga.
Mungu yupo ingekuwa tofauti na hivyoThibitisha Mungu yupo.
Lakini si sawa kumuacha mtu apotee sijui wanasema hivyo kwa masirahi gani?Haifai hata kupoteza mda kujadiliana nao.
Kama ukweli gani au ishara gani ambayo ingebadilisha mtizamo wako?Sotaki kuamini, nataka kujua ukweli.
Imani unaweza kuamini chochote, unaweza kuamini hata uongo.
Ndiyo maana watu wengi wanaweza kuwa na imani tofauti, na wote wakawa sawa kwa muktadha wa imani.
Imani haihitaji kuwa ukweli.
Imani ni haki ya kibinadamu.
Mimi sitaki imani, nataka kujua ukweli.
Kama unapenda sana kutafuta visababishi na unaona visababishi ni muhimu sana na unasema Mungu yupo, kisababishi cha Mungu kuwepo ni nini?Wewe si daktari wewe, mtu akiumwa ugojwa wowote si lazima utafuta visababishi, na ndivyo ilivyo uwepo wa mambo kadha si alinacha na matokeo ya utendaji flani
Thibitisha Mungu yupo.Mungu yupo ingekuwa tofauti na hivyo
Lakini si sawa kumuacha mtu apotee sijui wanasema hivyo kwa masirahi gani?
Nashindwa Kuelewa Wengine Elimu mliipataje?Kitu kikiwa na jina ni ishara ya kwanza KIPO