Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Binadamu ndio chanzo chenyewe cha sisi wenyewe kuwepo duniani.
 
Uwepo wangu hauonyeshi, uwepo wowote wa kwamba Mungu yupo.

Ni wewe tu unafosi na kulazimisha iwe hivyo.

Nakwambia hivi, Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe ajiongelee na kujielezea sio wewe unahangaika kumwelezea na kumtetea.
 
Unachokiafanya wewe ni mahubiri tu ili watu waamini Mungu yupo kupitia Qur'an ambayo pia imeandikwa na watu tu.
 
Concepts Ya Mungu Bila Dini Inakufa Mkuu..
Kwa mfano ukienda Ibrahimic Religion na ukalinganisha Dini zingine Concepts ya mungu utagundua ni Conplex Logical tofauti..
So Mumgu siku zote Hutetewa na Dini ukiondia Dini Mungu hayupo
 
Kwenye amri kuu za mungu kandika yatupasa kumwogopa mungu na kumpenda NENO HOFU mfano ukitaka kutenda jambo ovu dhambi ukikumbuka mungu hunaacha kufanya
Kwahiyo kumbe hufanyi Kitu kwa sababu ya Hofu? Uoga na Kuogopa Adhabu??
Nilipokuwa Primary nilikuwa Muoga sana kufanya kitu nik8hofia adhabu na Kichapo kutoka kwa Wazazi ama walimu..

Lakini nilivyopata aakili ya Kuishi Nimekuwa Ninaweza kuona Hiki kitu si sawa Hata kama ninao uwezo wa Kukifanya Nguvu ya akukifanya ninayo na hata ushawishi wa kukifanya ninao bila kuangalia Hali ya Force ya Nje inasemaje ninaacha kukifanya..
Ukifika Level hiyo ndo nitakuona Una maarifa ila kama Unaacha kufanya kitu kwa sababu unaogopa Mtu na sio roho yako kukinai kile kitu na kujiona wewe ni mkubwa kuliko huo uovu uliotaka kuufanya bhasi Dini yako haijakusaidia kitu zaidi ya Kuwa Chombo vha Hofu na Kuishi kwenye mizania ya Hofu ambayo utakufa ukiwa nayo na ahautafurahia maisha..
 
Kwani tunadai yupo kisayansi, kiimani au kifilosofia?
 
Logic msingi wake mkuu ni akili, na akili ya mwanadamu ina ukomo.
Kama akili ya mwanadamu ina ukomo, umewezaje kujua kwamba Mungu ni perfect?

Je, Huo sio ukomo wako mwenyewe wa kufikiri kama ulivyosema?

Kama binadamu tungekua na ukomo sawa wa kufikiri tusingetofautiana kimitizamo, falsafa na itikadi?

Conclusion: Binadamu hatuna ukomo sawa wa kufikiri.

Kama unakataa jiulize unauwezo wa kufikiri sawa kabisa na Albert Einstein?
Mungu hafanani na chochote bali ni mkamilifu mwenye kujua.
Ukisoma hicho kitabu chako kinachokupa jeuri kinakufundisha mwanaume mkamilifu anatimiza majukumu ya familia yake.

Je ukamilifu ni kutuma watu waje kuteketeza watoto wako mwenyewe kwa mapigo tofauti tofauti ili kukwepa majukumu?

Je ukamilifu ni kuwatupia watoto wako maovu, matetemeko, vita, magonjwa, njaa halafu wewe unakimbilia kujificha mahala [mbinguni] unaangalia tu wanavyoumia?

Je ukamifu ni kuwaandalia moto mkali watoto wako mwenyewe ili siku1 uwateketeze na usiwaone kabisa?

kama anafundisha mwanaume mkamilifu hutimiza majukumu halafu yeye anayakwepa, Je ni mkamilifu huyo?

Je, Mimi ni mkamilifu kumzidi? sababu ninatafuta pesa, nina upendo, ninahakikisha familia yangu inakua salama, inapata elimu bora, afya, na ulinzi, sijaitelekeza wala sina mpango mbaya na familia yangu .

Nimeweza kuyatekeleza majukumu ambayo yeye ameyakimbia, Je, mimi ni mkamilifu kumzidi?
Kwa ufupi uwepo wa kitu huonyesha uwepo wa kitu kingine kilicho fanya kitu hicho kuwepo.
Kwa kutumia mfano huu umethibitisha kwamba uwepo wa Mungu unatakiwa usababishwe na kitu kingine, na hicho kitu kingine kisasabishwe na kingine, mtiririko uende hivyo hivyo mpaka kusiko na ukomo infinity.
Uwepo wa Mungu ni uwepo wa lazima ambao hauhutaji uwepo wa kitu kingine zaidi yake kufanya Mungu awepo, huo ndio ukamilifu wake.
Hapo juu umedai kwamba ili kitu chochote kitokee lazima kiwepo na kilichosababisha hicho kitu kitokee.

Hapa unakuja na hoja nyingine tena ukisema Mungu haitaji chochote ili awepo.

Kama haitaji chochote ili awepo basi hayupo, kwasababu kila kitu lazima kiwe kina sababu yake ya kuwepo.
👇👇
Kwa ufupi uwepo wa kitu huonyesha uwepo wa kitu kingine kilicho fanya kitu hicho kuwepo.
 
Hivyo unavyo vitamani na huna uwezo wa kuvipata ndio ujue Sasa kama Mungu Yupo

Kuna Ndege anaweza kupaa angani Hadi KM 10,000 above the sea level
Lakini wewe hauna hata uwezo wa kupaa M 100

By the way sera ya Mungu ni udicteta sio democrasi na ndio maana amekupa kile ambacho ameona kinakufaa na vingine umenyimwa
 
Kwa uginiaz nilonao Uzi mzima umejaa vichambo na majivuno hakuna facts.

Chukua hiii....Mungu yupo ila inategemea hii dhana Mungu unaichukuliaje ndomana kuna wanaoabudu wanyama, jua, milima, miti, sanamu, na wanaoishia kutaja jina lake au majina yake.

God is a super natural power anzia hapa, super natural power that created everything including Man.

Ukitaka kujua kuwa MUNGU ni nature angalia vitu vidogo vudogo ambavo uhalisia wake haubadiliki.
Mfano, ili mbegu zote ni lazima maji au unyevu kuwepo that's nature and it can't be amended
 
Una

Imani kaka?
Sitaki imani, nataka kujua ukweli.

Imani unaruhusiwa kuamini hata uongo. Imani haina haja ya uhakiki wala uthibitisho. Ndiyo maana kuna imani nyingi, nyingine zinapingana, na zote ni haki ya kibinadamu.

Mimi sitaki imani. Kwa sababu kwangu imani ni haki ya kibinadamu ya kila mtu kuwa na yake anayotaka. Hata ya uongo, ni haki ya kibinadamu ya mtu, mradi kaamua kuwa na imani hiyo. Imani haihitaji logical consistency. Imani inaweza kuwa na contradiction. Imani haihitaji uthibitisho wala uhakiki.

Sitaki imani, nataka kuujua ukweli. Unaoweza kufanyiwa uthibitisho. Ukweli si haki ya kibinadamu. Ukweli unakwenda na logical consistency. Ukweli hauna contradiction.
 
Hujaelewa, hujaelewa hujaelewa.

Kwanza kabisa sijavitamani na kutovipata.

Hiyo ni hoja ya kifalsafa ya kuonesha kuwa hatuna uhuru huo unaosemwa.

Mnasema sana Mungu hivi, Mungu vile, lakini hamuwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Unasema.sera ya Mungu ni udikteta. Kabla ya kusema sera ya Mungu ni nini, thibitisha yupo kwanza.

Mnaleta maneno ya imani tu, mkiambiwa thibitisheni Mungu yupo hamuwezi.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Mpaka mda huu hamjafikia mwafaka tu?
Mpaka muda huu hakuna aliyethibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo, habari za Mungu ni longolongo za kutungwa na watu tu.

Mungu angekuwepo, ingekuwa rahisi sana ku prove yupo. Hususan Mungu alivyoandikwa ni mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, huyu hana haja ya kujificha sana mpaka watu wauane kwa vita za kidini kupigana sababu yeye kajificha hajulikani vizuri.

Ukishaona Mungu mgumu kujulikana, ana figisu nyingi za kimepanda kimeshuka ukitaka kumjua, ana maswali mengi yasiyo na majibu, ujue huyo ni Mungu wa kutungwa na watu tu.
 
Unathibitishaje Mungu yupo, na ni super natural power na kaumba kila kitu, na hayo si maneno ya kutungwa na watu tu?
 
Mtag rabon anaweza kukupa majibu
 
Umejibu jibu refu my nataka useme ndio au hapana kisha niendelee Sion hutaki Imani sema ndio au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…