Jibu ndio au sio, ukimuuliza mtu una hela akasiju ndio au hapana , ni sawa na atakejibu hataki helaSasa kama unataka jibu fupi si usome maneno mawili ya mwanzo tu nimeanza kwa kuandika "Sitaki imani" nikijua kabisa kuna watu wavivu wa kusoma na hawawezi kufuatilia mlolongo wa maandishi ya kimantiki.
Tatizo lako lipi ikiwa maneno mawili ya mwanzo kabisa yanasema "Sitaki imani" na huko mbele ni maelezo tu ya kwa nini sitaki imani?
Umeshindwa kusoma hata maneno mawili ya mwanzo ya jibu?
Siyo tu sina imani.Umejibu jibu refu my nataka useme ndio au hapana kisha niendelee Sion hutaki Imani sema ndio au sio
Huko kusema Mungu hayupo,ndio kuweko kwake,kisichokuwepo hakisemwi hakipo.Kuweko kwa Mungu,ndiokunakosemwa hayupo,na kwa kuwepo kwake.Huyo Mungu kama yupo, yuko wapi?
Hakutokea mahali popote pale.Sawa nakubali ila Hujanijibu swali langu je alitokea wapi wapi huyo binaadamu
Kisicho kuwepo, hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.Huko kusema Mungu hayupo,ndio kuweko kwake,kisichokuwepo hakisemwi hakipo.Kuweko kwa Mungu,ndiokunakosemwa hayupo,na kwa kuwepo kwake.
Kiimani.Kwani tunadai yupo kisayansi, kiimani au kifilosofia?
Akili pia hainekani,lakini anasema ana akili,joto hali0nekani,lakini anasema anahisi joto,baridi na upepo haonekani lakini,anasema anahisi baridi au upepo.Kwahiyo kitu kama hakionekani upaswi kukiamini, una pumzi una roho na unaviamini na nasfi unaamini kama unayo ushawai kuona hivyo vitu? lakini unaamini unavyo wewe uko timamu kweli, au unasema hivyo uliufanye vitu vyako pendwa bila kufata utaratibu
Huko kusema Mungu hayupo,ndio kuweko kwake,kisichokuwepo,hakisemwi hakipo.Ukiambiwa fulani hayupo,ni.kuweko kwake,ndio kunakofanya awepo.Sasa umetuita hapa kufanya nini? Nikajua umeleta ushahidi wa uwepo wake(Mungu) matokeo yake umeleta yaleyale ya wafia dini.
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika na kuhisika.Kwahiyo kitu kama hakionekani upaswi kukiamini, una pumzi una roho na unaviamini na nasfi unaamini kama unayo ushawai kuona hivyo vitu? lakini unaamini unavyo wewe uko timamu kweli, au unasema hivyo uliufanye vitu vyako pendwa bila kufata utaratibu
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.Akili pia hainekani,lakini anasema ana akili,joto hali0nekani,lakini anasema anahisi joto,baridi na upepo haonekani lakini,anasema anahisi baridi au upepo.
Kama kusema Mungu hayupo ndiyo uwepo wake, je, kusema Mungu yupo nako ndiyo kutokuwepo kwake?Huko kusema Mungu hayupo,ndio kuweko kwake,kisichokuwepo hakisemwi hakipo.Kuweko kwa Mungu,ndiokunakosemwa hayupo,na kwa kuwepo kwake.
Na kuhusu shetani wanasemaje!?Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida wameshindwa kuamini katika imani zao kwa uthabiti maybe wamechunguza kuwa katika imani zao ambazo wamekuwa na kulelewa umo aziko sawa sawa na azijawapa majibu yakutosha kiasi cha wao kuamini
Kuna wengine majeuri tu na kwakweli katika hii dunia watu hao awawezi kukosekana wanajua na kuona lakini nyoyo zao zimekufa na wauwaji ni wenyewe na matendo yao.
Na rudi katika hii hoja ya kusema kila kitu kipo sababu ni nature, huyu huyu anaesema hivi anaamini kwamba simu anatengeneza mzungu internet mzungu,
ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
Shetani hayupo pia.Na kuhusu shetani wanasemaje!?
Hela ni nini kwanza?Jibu ndio au sio, ukimuuliza mtu una hela akasiju ndio au hapana , ni sawa na atakejibu hataki hela
Wewe ukiulizwa umejuaje kuna Mungu?
Unaanza kuleta hadithi za kwenye Quran. Mara ooh! Imeandikwa kwenye Quran.
Ukiambiwa uthibitishe ukweli wa hayo maandishi ya Quran huwezi.
Unabaki kuruka ruka tu.
Sio kweli, bali unaonyesha uwepo wa nini ?Uwepo wangu hauonyeshi, uwepo wowote wa kwamba Mungu yupo.
Ni wewe tu unafosi na kulazimisha iwe hivyo.
Nakwambia hivi, Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe ajiongelee na kujielezea sio wewe unahangaika kumwelezea na kumtetea.
Unachokiafanya wewe ni mahubiri tu ili watu waamini Mungu yupo kupitia Qur'an ambayo pia imeandikwa na watu tu.
Mada inajirudia rudia kwa sababu Mungu hayupo.Mada hii mbona inajirudia?Au ni utafiti unaendelea?
Kama akili ya mwanadamu ina ukomo, umewezaje kujua kwamba Mungu ni perfect?
Je, Huo sio ukomo wako mwenyewe wa kufikiri kama ulivyosema?
Kama binadamu tungekua na ukomo sawa wa kufikiri tusingetofautiana kimitizamo, falsafa na itikadi?
Conclusion: Binadamu hatuna ukomo sawa wa kufikiri.
Kama unakataa jiulize unauwezo wa kufikiri sawa kabisa na Albert Einstein?