Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Kwahiyo kitu kama hakionekani upaswi kukiamini, una pumzi una roho na unaviamini na nasfi unaamini kama unayo ushawai kuona hivyo vitu? lakini unaamini unavyo wewe uko timamu kweli, au unasema hivyo uliufanye vitu vyako pendwa bila kufata utaratibu
 
Kuna swali nilikuwa napenda sana kuuliza Atheist.Hivi kama ukifa it's okay tu historia yako ikasomwa watu wakakufukia na kila mtu akaishia zake kwake?Na je watu wakaribu yako wanajua kuwa wewe ni atheist?I mean wazazi wako au ni huku tu jamii forum ukija unakuwa atheist?
 
Nafunga mjadala Kwa kusema mtoa mada mlete uyo kiumbe unaemuongelea ili wasiomwamini yupo wamwone Kwa macho Yao waamini la sivyo hawatakuelewa , Angekuwepo uyo kiumbe hata huu mjadala usingekuwepo
 
Unamaanisha nini kurusha taulo?
Mimi sijui na fact za uwepo wa mungu zipo kede wa kede kuanzia maisha yetu kufa na mpaka mazingira yetu tunayoishi ila kinacho sumbua wasio amini mungu ni kiburi na uzima walio nao hakika hofu yao ni kubwa kuzidi hata tunaomini juu ya mungu
 
Umeanza Kwa kusema wasioamini , afu unafosi waamini au hujui mana ya kuamini?😂🙌 Imani Ina pande mbili , kuamini na kutokuamini , ukishasema Imani means vitu ambavyo havijadhibitishwa havina uhakika
 
Mimi sijui na fact za uwepo wa mungu zipo kede wa kede kuanzia maisha yetu kufa na mpaka mazingira yetu tunayoishi ila kinacho sumbua wasio amini mungu ni kiburi na uzima walio nao hakika hofu yao ni kubwa kuzidi hata tunaomini juu ya mungu
Uzima walio nao??🤔 Kwani Kuna kiumbe kisochoumwa au kufa
 
Sijaona Jibu wala Hoja Uliyoweka Mezani zaidi ya Maneno ya Masimango na Kashfa
 
Sasa mimi na nani upeo wake mdogo ndomaana nasema ukweli msio amini mungu amna akili timamu eti simu unaamini kwa kuwa unaiyona kwani mbingu uiyoni bahari uzioni eboo!
Hatuongelei "uwepo" wa simu. Bali tunaongelea "mtengenezaji" wa hiyo simu na ukilinganisha simu ni man-made.

Bahari ndio inaonekana, je unajuaje kama ilitengenezwa? Uwepo wa kitu natural kama bahari hauthibitishi uwepo wa "mtengenezaji"
 
Nafunga mjadala Kwa kusema mtoa mada mlete uyo kiumbe unaemuongelea ili wasiomwamini yupo wamwone Kwa macho Yao waamini la sivyo hawatakuelewa , Angekuwepo uyo kiumbe hata huu mjadala usingekuwepo

Nafunga mjadala Kwa kusema mtoa mada mlete uyo kiumbe unaemuongelea ili wasiomwamini yupo wamwone Kwa macho Yao waamini la sivyo hawatakuelewa , Angekuwepo uyo kiumbe hata huu mjadala usingekuwa

Kumbe Bahari Ni Mungu???
Kwahyo Wanaposema Mungu bahari wako sawa??
Wewe si daktari wewe, mtu akiumwa ugojwa wowote si lazima utafuta visababishi, na ndivyo ilivyo uwepo wa mambo kadha si alinacha na matokeo ya utendaji flani
 
Sasa umetuita hapa kufanya nini? Nikajua umeleta ushahidi wa uwepo wake(Mungu) matokeo yake umeleta yaleyale ya wafia dini.
 
Hatuongelei "uwepo" wa simu. Bali tunaongelea "mtengenezaji" wa hiyo simu na ukilinganisha simu ni man-made.

Bahari ndio inaonekana, je unajuaje kama ilitengenezwa? Uwepo wa kitu natural kama bahari hauthibitishi uwepo wa "mtengenezaji"
Bahari ni kitu natural, mbona haikuwekwa morogoro? huu ni utaratibu wa utendaji si alinacha
 
Thibitisha Mungu yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…